Bodi ya mikopo ya elimu ya juu HESLB imesema hakuna mwanafunzi ambaye atapata mkopo wakati hana vigezo stahiki ambavyo vimeainishwa.
Hayo yamebainishwa leo na Mkurugenzi wa bodi hiyo Abdul Razaq...
MAPAMBANO ya kutumia silaha za jadi yakiwemo mapanga kati ya wakazi wa Kijiji cha Wegita na Nkerege wakituhumiana kuibiana bangi mashambani, yamesababisha vifo vya watu wawili na wengine wawili...
Naongea kama mtanzania wa kawaida kabsaa,non aligned kabsa..naona sasa hii trend inakua kama kawaida vile,na wanachadema wanajisahau wanawapokea hawa jamaa kwa mikono miwil na tayar wameshaanza...
Jamani nisaidieni hili,kuna baadhi ya watu nimewahi kukutana nao maishani mwangu huwa ni wazito natural,hivi huwa ni nn ? yaan wazito tuu hawapo active ,shida huwa ni nn !yaan namaniisha unaweza...
Kwa hali ilivyo napendekeza Mhe. Kigwangala (Mzalendo) aongezewe ulinzi.
Nilikuwa naangalia video ya alichokiongea kuhusu kumsimamisha Mkurugenzi na mikakati ya kuiweka wizara salama, nimehisi...
Nikiwakumbuka vijana wa pale kijiweni karibu na ofisi yangu wanavyoshangilia makinikia kuzuiwa pale bandarini, ndoto ya kumiliki noah, ahadi za 50M, nk nk.......afu mara paap "braza, leo vimekaza...
Wandugu niko sasa hivi naangalia kipindi kilichokuwa kinaitwa Kipima Joto. Naamini hiki kipindi na jina lake kilitengenezwa kuwa platform ya mijadala yakitaifa ya kuchangia mambo muhimu ya taifa...
Waswahili wanasema "kupanga ni kuchagua", hivi tunaona jinsi vijana wsnavyohangaika kupata mikopo kwa ajili ya masomo ya elimu ya juu lakini kutokana na ufinyu wa bajeti ni wachache wamepata...
Timu ya Uwekezaji katika mambo ya Kibenki ya Benki ya Stanbic hivi karibuni jijini Dar es Salaam, iliandaa mkutano wa ujumbe wa Makampuni 14 ya wafanyabiashara wa Kijerumani yakiwakilisha sekta...
Dar es Salaam. Ofisa Msaidizi wa Forodha wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Jennifer Mushi, Desemba 6,2017 atasomewa maelezo ya awali.
Katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, mshtakiwa...
Hi kitu sasa imekua kero na imefikia hatua inachosha kiasi uvumilivu umenishinda kabisa.
Nilikua najua hapa kazi ni kazi kweli kumbe Hakuna lolote ni ubabaishaji wa hali ya juu kiwango cha...
Bodi ya mikopo ya elimu ya juu HESLB imesema hakuna mwanafunzi ambaye atapata mkopo wakati hana vigezo stahiki ambavyo vimeainishwa.
Hayo yamebainishwa leo na Mkurugenzi wa bodi hiyo Abdul Razaq...
Watanzania wanaosafiri kwenda nchini Msumbiji wamelalamikia kunyanyaswa ikiwemo kupigwa na askari wa mpakani wa nchi hiyo huku wanawake wakilalamikia kupekuliwa na askari wa kiume sehemu za siri...
Kwanza napenda niseme kuwa kupenda simu yako kupita kiasi ni ugonjwa kama yalivyo magonjwa mengine ya tabia ya kupenda vitu kupita kiasi yaani (addiction), magonjwa haya hu-tibiwa kwa kupewa...
Nyoka alipenya na kuingia katika karakana ya ufundi seremala.
Wakati nyoka anaingia alipita karibu na msumeno wa kukatia mbao, na kudhurika kwa kuchomwa na meno ya msumeno.
Kwa ujinga wa kutojua...
Arusha.
Vifaranga vya kuku 6,400 vimekamatwa wilayani Longido mkoani Arusha vikiingizwa nchini kutoka Kenya. Vifaranga vilivyokamatwa jana Jumapili Oktoba 29, 2017 vyenye thamani ya Sh12.5...
Hivi inakuaje kwa Mkuu wa wilaya ambaye ni Askari (JWTZ) mwenye cheo cha Kanali, Mfano Mkuu wa wilaya ya Kakonko Kanali Ndagala H.M anapokutana na Askari anayemzidi cheo aidha Kamishna, Brigedia...
Mkuu wa mkoa wa Mtwara Gelasius Byakanwa ametoa kauli hiyo katika mkutano wake na waandishi wa habari ambapo amesema bandari hiyo ilitumika mwaka jana kusafirisha korosho na kufanya vizuri hivyo...
Nimefungua kurasa mmoja wa chombo cha habari fulani, kinaarifu kuwa...'wakazi wa Dar Es Salaam wamepongeza utendaji wa miaka kadhaa ya Mkuu'. Maoni ya wafuatiliaji wengi kwa asilimia kama 70 au...