Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Mwaka 1980, baada ya Zimbabwe kupata uhuru serikali ya nchi hiyo ilituma ujumbe kwenda kuonana na mwanamuziki wa reggae na ambaye ni moja ya wanamuziki maarufu zaidi duniani kuwahi kutokea...
1 Reactions
5 Replies
5K Views
Serengeti. Ndege ya Kampuni ya Coastal Aviation iliyobeba watalii 10 imeanguka na kujeruhi watalii wawili na rubani ilipokuwa ikitua katika uwanja wa Lobo ndani ya Hifadhi ya Taifa ya Serengeti...
1 Reactions
18 Replies
5K Views
Kwa Mara ya kwanza wakulima wa zao la korosho wameshuhudia kupanda kwa bei ya korosho mara dufu zaidi ya ilivotegemewa ambapo bei ya dira kwa msimu wa 2016/2017 ni shilingi 1300 wakati mnada wa...
2 Reactions
22 Replies
6K Views
WAJEMENI, hivi kuvunja lile jengo la Tanesco pale ubungo tukajenga flyovers ya uhakika itakayorahisisha barabara zote nne zinazokutana pale ubungo mataa, na kubaki na jengo lile bila flyovers na...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
WANANCHI wa kijiji cha Ivuna Wilayani Momba Mkoani Songwe, wamefufua kiwanda cha uzalishaji wa chumvi katika eneo la Bwawa la Maji chumvi kilichokuwa kimesitisha shughuli zake za uzalishaji...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Poleni na majukumu ya sku kwa ujumla.wanajf mm nilikua naomba msaada kwa mtu mwenye uzoefu kidogo. Iko hivi mimi nina rafiki yangu yuko US sasa kuna package anataka kuituma Tanzania sasa...
0 Reactions
3 Replies
915 Views
Naomba mwenye namba ya support kwa hao watu aniwekee hapa tafadhali maana mashine yangu inazingua na sina wa kunisaidia. Ahsanteni
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Habari wakuu! Kwa nini Bara la Afrika ni Masikini? Umasikini wa Afrika unasababu nyingi sana. Zipo sababu zenye mizizi ya Kihistoria hapa ndipo suala la biashara ya utumwa na ukoloni...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Kupitia ukurasa wao wa Instagram, kituo cha radio cha Clouds Fm wamethibitisha kutomleta Msanii kutoka nje na hivyo kutoa fursa kwa Wasanii wa ndani kufanya yao siku hiyo katika viwanja vya...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Habari zenu bandugu.,. Naomba kuuliza, kwa mtu anae taka kupata kibali cha kununua bidhaa zitokanazo na maliasili ( WILDLIFE PRODUCTS ) anatakiwa kwenda wapi? Na je ni wildlife...
0 Reactions
24 Replies
4K Views
Kuna jamaa yangu alishilikiwa huko Comoro alikuwa anapeleka ngada, tulikuwa tunachat naye whatsapp na facebook na picha anapiga anatutumia maisha ya huko Jela Anasema wanaruhusiwa Ila sio kila...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Mwanaume mmoja mkazi wa Manzese jijini amefariki dunia wakati akifanya mapenzi maeneo ya Tandale kwa malaya wanapojiuza. Mwanaume huyo ni Dereva wa taxi. Polisi walifika na kufanya upekuzi...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Naangalia hapa channel ten kipindi cha Makwaiya wa Kuhenga Mada: Miaka miwili ya uongozi wa Rais Magufuli. Daaa,, namwona Makwaiya anapata tabu sana wachangiaji mada wanavyotoka kwenye yale...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Ngara. Mwanafunzi wa darasa la kwanza katika Shule ya Msingi Kihinga, wilayani hapa mkoani Kagera, Domina Wabandi (10) amesema wakati wakiingia darasani, mwenzao Juliana Tarasisu (13) aliyefariki...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Katavi . Aliyekuwa akiita Ripota wa STAR TV wa Mkoa wa Katavi na mtoto wa Kamanda Selemani Kova anaejulikana kwa jina la Gerald Kova Mkazi wa Mkoa wa Mwanza amehukumiwa kifungo cha mwaka mmoja...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Wanajamvi naombeni muongozo kwa anayefahamu. Je, naweza kufanya biashara ya kukopesha watu fedha kwa riba bila kuwa na leseni? Nini madhara yake?
0 Reactions
5 Replies
4K Views
Kufuatia tukio la msanii Elizabeth Michael,kufungwa jela miaka miwili,kampuni ya Uhai productions inayoratibu mradi wa sinema zetu,inapaswa kuchukua hatua ya kufuta mkataba wa ubalozi na kumkana...
0 Reactions
49 Replies
6K Views
Jambo hili linawwza kuagizwa na hela itatoka wapi na katika bajeti gani wanajua wao. Dodoma mjiandae kupokea ugeni huu mkubwa na wa ghafa wakati wowote endapo utabiri huu utatima. Tunatekeleza...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari wana JF, Niende moja kwa moja kwenye mada husika. Kuna taarifa za ajabu na kusikitisha kuwahusu vijana wetu waliomba na kuchaguliwa kusoma kozi ya CERTIFICATE IN SOCIAL WORK. Wanafunzi...
0 Reactions
14 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…