Wananchi wa mkoa wa Songwe wameonyesha mwitikio mkubwa katika zoezi la uasjili wa vitambulisho vya taifa ambalo linafanyika nchini kote na kwa mkoa wa Songwe wilaya zote zinafanya usajili katika...
Serikali ya Tanzania imekubali rasmi kuanza kujengwa kwa bandari na mradi wa kituo cha kibiashara cha Bagamoyo.
Balozi wa Tanzania nchini China Karuiki aliwakilisha makubaliano hayo kwa niaba ya...
Ni wiki iliyopita tu toka Mh. Saada Mkuya kuwasilisha hoja ya Zanzibar kutokuwepo na kutokuhusishwa kwenye mpango wa taifa wa maendeleo, na kutokea kuzongwa zongwa na Waheshimiwa wenzake...
Dar es Salaam. Wanafunzi sita kati ya 100 wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) waliokuwa kwenye mpango wa mafunzo ya vitendo kwenye taasisi na kampuni mbalimbali wameondolewa kwenye mpango huo...
Jamani, mie ni kitambo sana nimeshaacha kuangalia TV. Yani kuona TV labda niwe bar au kwa jirani.
Sasa wageni wengi wakija kwangu wanashangaa kutokuta TV. Kwani kuna shida kutokuwa na TV?
Naomba jamani kuuliza,
Hivi ule mfumo wa TAMISEMI wa kuangalia na kupata slip unaitwaje?
Mwenye link please naomba anitumie jamani nataka nicheki mambo fulani hivi.
Natumai wanajukwaa kuwa mu wazima,
Naomba niende moja kwa moja kwenye point yangu,
Ukichunguza na kulinganisha idadi ya ajali za vyombo vya moto hasa bodaboda, vijijini na mijini hakika...
Ofisa elimu mkoa wa Mara, Emmanuel Kisongo ametakiwa kumchukulia hatua mwalimu wa shule ya msingi Namubi wilayani Bunda kwa madai ya kumpa mimba mwanafunzi (13) ambaye amejifungua watoto pacha...
Ndugu Wanajamvi
Naomba Msaada wa kufahamu Consultant ambaye anamsaidia client kuomba viza ya kwenda europe on his behalf,
Ambaye atashughulikia mpk client ambate viza,
Shukran sana.
Kampuni ya acacia north Mara gold mine, imetangaza kuwafuta kazi walinzi wa kampuni mama na kukodisha shughul za ulinzi kwa kampuni ya ulinzi ya G4S, kesi imechukua muda mrefu na inaonekana kuna...
Nchi yenye matamko yasiyoisha/ yenye kuchanyanya kutoka Kwa viongozi wetu.
Kila mmoja na tamko lake,mengine yanafurahisha,mengine yananunisha !
Ni tamko gani unalipenda?
Ni tamko gani unalichukia?
Jaman mim nna swali kwenu nyinyi wana jamvi, hivi ni bidhaa(kitu) gani ulichonunua kisichozidi thamani ya laki 2 lakini kiliyabadilisha maisha yako au kilikusaidia kwa kiasi ambacho huwez kusahau.
Jana katika kipindi cha tuzungumze magazeti cha asubuhi kuna Wadada wawili walikuwa wanaendesha kipindi hiki, badala ya kusoma vichwa vya habari walianza na matani, mazungumzo yasiyo ya msingi na...
Mganga mkuu wa hospitali afukuza madaktari watano,
Ma Dr, hao walikuwa na mgomo kwa week mbili mfululizo,
Chanzo cha mgomo hakikuweza kufahamika mara moja,
Tutaendelea kuwajuza yana endelea...
Habari kuna drug zinazo fahamaika kwa jina la FRAKKA
zimesambaa nchi za European na America sasa zinakuja kwa kasi sana Africa kwa sasa tayari zimeshafika Africa kusini na madhara yake ni...
Mamlaka ya vitambuisho vya taifa (NIDA) inaendelea na zoezi la Usajili na Utambuzi wa watu nchi nzima ambapo kwa sasa wanafanya kwa awamu na wameanza na mikoa 11 ambayo ni Njombe, Mbeya, Songwe...
Wandugu huyu bwana Dr Shika ameitikisa Tanzania,na mpaka sasa wengi hawajapata wanachotaka kujua kwa Dr nikiwemo Mimi, nikifuatilia interview zote kuna Giza bado juu ya maisha yake Kule Russia...
Sijui hii kasumba itatuisha lini waafrika. Tunashindwa kusimama kwa ajili ya maendeleo tunajikita na hoja mfu zisizo na sababu wala maana.
Mwanzoni kipindi cha mgogoro wa libya kuna baadhi ya...