muhamar Gadaf
JF-Expert Member
- Jul 5, 2017
- 1,098
- 1,056
Mganga mkuu wa hospitali afukuza madaktari watano,
Ma Dr, hao walikuwa na mgomo kwa week mbili mfululizo,
Chanzo cha mgomo hakikuweza kufahamika mara moja,
Tutaendelea kuwajuza yana endelea hapa st. Kizito mikumi kuhusu hii timua timua y madaktari wetu