Kitu gani ulinunua kisichozidi laki mbili na kikabadilisha maisha yako?

Optimus_Prime

Senior Member
Nov 14, 2017
137
282
Jaman mim nna swali kwenu nyinyi wana jamvi, hivi ni bidhaa(kitu) gani ulichonunua kisichozidi thamani ya laki 2 lakini kiliyabadilisha maisha yako au kilikusaidia kwa kiasi ambacho huwez kusahau.
 
Kiwanja nilichojenga nyumba yangu ya kwanza
 
Back
Top Bottom