Jana katika kipindi cha tuzungumze Magazeti cha Star Tv watangazaji walikosa weledi wa kazi

Koryo2

JF-Expert Member
Nov 28, 2016
2,056
2,515
Jana katika kipindi cha tuzungumze magazeti cha asubuhi kuna Wadada wawili walikuwa wanaendesha kipindi hiki, badala ya kusoma vichwa vya habari walianza na matani, mazungumzo yasiyo ya msingi na kufannya kipindi kutokuwa na ufanisi. Ninawauliza viongozi wa Star TV ndiyo mafunzo mnayotoa kwa waendesha vipindi. Kwa kweli ilikuwa ni aibu. Mubadilike.
 
Aiseeeeh!!
TV stations na magazeti vimeisha jifia zamaaaniii ,,, acha kupoteza muda wako.

Mfano, fatilia maswali waliyomuuliza waziri wa mazingira Mr. January.

Angalia, interview za TV stations na magazeti na Dr. Shika , Mzee wa 900 itapendeza!!

Yaani hao, hawajitambui kabisa kwa sasa , wanachokifanya ni Fake News (in Trump's voice)

Bora nisome habari hapa JF platform kuliko huko kwenye TV stations uchwara.
 
Back
Top Bottom