Kitambo sana hakuna huduma za mipango miji, upimaji na utoaji hati manispaa ya Ubungo. Kila ukienda pale unaambiwa bado bado kisa hawana ofisi baada ya kutimuliwa kinondoni (walibakia pale baada ya mgawanyo)
Jana nimeenda pale nimeambiwa bado mafaili hayajapangwa na eti mtambo wa kuchapa sijui hati bado haujafungwa. Tafadhalini sana sisi wananchi habari za ofisi hazituhusu tunataka huduma, nani alisema mgawanyike kama hamkuwa tayari.