Dar es Salaam.
Tanzania imechanua na kufanya vizuri katika viwango vilivyotolewa na mfuko wa Mo Ibrahim uliopima hali ya utawala bora na maendeleo na kuziacha kwa mbali baadhi ya nchi za Afrika...
MUHIMU:
Tofauti zetu za kisiasa hazituondolei uhalali wa kushirikiana katika maswala muhimu ya kijamii yanayotuhusu.
Kila mmoja wetu anapaswa kutambua kua umoja wetu, upendo wetu na amani ya nchi...
Baada ya kuona siku zinakaribia za kupiga Hela ndefu kwa wana Dar es Salaam kutokana na ushawishi wao mkubwa kwa wana Dar es Salaam hasa Vijana ilikuja kugundulika kwamba kutokana na uadui mkubwa...
Ukweli kuhusu Anguko la Uchumi wa Zimbabwe ya Robert Mugabe
Uchumi wa Zimbabwe ulianguka baada ya serikali ya Mugabe kuwapoka ardhi wazungu ambao walirithi ardhi hiyo kutoka kwa babu zao...
WanaJF huu ndio msimamo wangu kama Mtanzania mwenye mapenzi na nchi yangu.
1. Nitaitetea na kuilinda nchi yangu kwa gharama yoyote
2 Nitaunga mkono juhudi za Mh. Rais wetu Magufuli katika vita...
Waziri wa Afya sijui anajua hili la meli kuja maana naona yupo kimya kabisa.
Meli ya Wachina, imekuja. Huduma zinatolewa na wanaotibiwa ni baadhi tu ya wagonjwa nchini. Wapo ambao watahitaji...
Mh Kinyafu mgombea udiwani IATA ya Saranga kumara amewekewa pingamizi na mgombea Wa Cuf kutokufanya mikutano ya kampeni mpaka tare ya uchaguzi,,madai ni kutangaza kwenye mikutano yake kuwa Cuf...
Wana jukwaa mimi sio Muanzishaji wa nyuzi mara kwa mara humu Jf kwa sababu zilizo ndani ya uwezo wangu.
Ila leo nilikuwa nipo mitaa fulani katika chuo fulani nikakutana na Mtu mmoja ambae...
Wadau
Utafiti uliofanywa tokea Mhesh Rais Magufuli aingie madarakani umeonyesha kuwa % kubwa ya wanaopingana na juhudi zake wanavijitabia vifuatavyo:-
1. Wengi mafisadi
2. Waliozoea kutumia...
Dar es Salaam.
Watanzania watatu wamekamatwa nchini Swaziland kwa tuhuma za kukutwa na kilogramu 30 za dawa za kulevya aina ya heroini zilizokuwa zinapelekwa Afrika Kusini.
Kamishna mkuu wa...
Wakuu wa Jf, nimekuwa napata mkanganyiko nikisia baadhi ya Nchi Kama Tanzania Polisi kuitwa Jeshi ilihlali Kuna Jeshi la ulinzi wa wananchi wa Tanzania (Jwtz), wakati Nchi Kama za Kenya Polisi...
Wadau tukiangalia garama zilizotumika kujenga jengo la TANESCO....
Garama za kulibomoa jengo la TANESCO....
Garama za kuhamisha thamani zote toka kwenye jengo...
Garama za kujenga jengo jingine...
Wadau rejeeni kichwa cha habari hapo juu nimekuwa nikisafiri na mabasi haya ya Baraka nikitokea Dar kwenda Lindi na kutokea Lindi kwenda Dar.
Anayo mabasi ya VIP na luxury za kawaida mm nimekuwa...
Naomba kujua hili swala liliishia Wapi nakumbuka baada ya uchaguzi mkuu 2015 tulifungiwa misaada ya MCC ambayo wachambuzi mbalimbali walisema bila hiyo misaada tutapitia kipindi kigumu cha uchumi...
Wanajamvi tumekuwa na nyuzi mbalimbali maalum, ambazo zimekuwa msaada mkubwa sana kwetu
Jamiiforums ni mtandao unaoheshimika sana, ni sehemu ya jamii(wapiga kura) ikiwa na mchanganyiko wa watu wa...
Mkuu wa mkoa wa Dsm mh Paul Makonda amesema hivi karibuni ataandaa tamasha la kuwakaribisha wanafunzi wapya wa mwaka wa kwanza wa vyuo vikuu jijini Dsm.
Source TBC habari!!
Hawa jamaa huwa wako siriasi sana linapokuja suala la usalama wao na ndio maana kila askari ana bastola yake kiunoni.
Na ukiwa mkaidi ndo yanakukuta kama yaliyomkuta huyu dogo hapa
Kabla ya...
Salaam wakuu,
Binafsi huwa najiuliza hivi katika kufanya maamuzi serikali huwa ina angalia faida na hasara?
Huwa inakuwa wapi wakati watu wanajenga nyumbaaa sehemu ambazo hazistahili?wanawaacha...
Halotel baada ya kusifiwa kua na huduma nzuri lakini saizi ni tofauti kabisa spidi yao ya intanet imepungua sana afu wanakula Mb unaweza sema simu imetoboka znavujia chini mwanzo Mb 600 nilikua...