Bado natafakari jengo la TANESCO

lepaima

Member
Nov 3, 2017
44
12
b95aa9b1d7e3cc2f69722d30ccb2296b.jpg

Wadau tukiangalia garama zilizotumika kujenga jengo la TANESCO....
Garama za kulibomoa jengo la TANESCO....
Garama za kuhamisha thamani zote toka kwenye jengo...
Garama za kujenga jengo jingine...
Ukiangalia vyote kwa makini ni kodi za watanzania. Huku wanafunz wanakosa mikopo, barabara mbovu, dawa mahispitalin hakuna na bado vijana hawana ajira. Lkn hii ndo Tanzania ya viwanda...
 
Linavunjwa kwa gharama ya nani?
Hawa @ppf si bora wangejenga kwa makosa kwenye kiwanja changu, mweee
 
Back
Top Bottom