Kampuni ya mabasi BARAKA acheni uswahili

Nkungulume

JF-Expert Member
Nov 25, 2015
2,988
1,208
Wadau rejeeni kichwa cha habari hapo juu nimekuwa nikisafiri na mabasi haya ya Baraka nikitokea Dar kwenda Lindi na kutokea Lindi kwenda Dar.
Anayo mabasi ya VIP na luxury za kawaida mm nimekuwa mara nyingi nikikata tiketi za VIP.
Cha ajabu sasa kule nyuma ambako kunatakiwa kuwe Business Class wamekuwa wanajaza abiria ambao wakaa kunzia chini kwenye ngazi hadi kurido yote.
Acheni uswahili na mnaivunjia heshima hiyo sidhani kama mmiliki wa mabasi haya analijua hilo.
Naomba kusilisha.
 
Nkungulume a.k.a jogoo kwa lugha ya kikwetu unashindwa kuwika humo ndani ya gari mpaka uombe msaada?
 
Nkungulume a.k.a jogoo kwa lugha ya kikwetu unashindwa kuwika humo ndani ya gari mpaka uombe msaada?
Mkuu hawa makonda wa siku hizi hawaelewi na kama unavyojua Jogoo huwa lina mda wake.
Hata kwetu tunaita hivyo
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom