Ukipewa nafasi ya kutamka neno moja juu ya kundi la watu wanaokukera utachagua watu gani

Youngtozy1992

JF-Expert Member
Aug 1, 2016
1,362
2,000
Wana jukwaa mimi sio Muanzishaji wa nyuzi mara kwa mara humu Jf kwa sababu zilizo ndani ya uwezo wangu.

Ila leo nilikuwa nipo mitaa fulani katika chuo fulani nikakutana na Mtu mmoja ambae kiukweli ilinichukua muda Mwingi sana kutafakari kuhusu maisha yake pamoja na jinsia yake

Kwa haraka haraka alikuwa kijana alionekana mweupe usoni ueupe uliochachuka ila katika sehemu zake za mwili zilizoweza kuonekana kwa uwazi kutokana na vazi lake alilokuwa amevaa zilionekana nyeusi mithili ya samaki aina ya kambare alietolewa ziwani

Mtu huyu ambae hadi saizi sijampatia majibu vizuri kuhusu jinsia yake alikuwa amevalia nguo iliyochora viungo vyake kisawa sawa kwa msemo wa vijana wa kisasa wanaita skin tait yaani maaana yake kibana ngozi

Hatua chache kutoka mbele yangu akisogea karibu na usawa wa macho yangu nilipata kumtazama vizuri usoni mwake, Uso wa mtu huyu ulionekana kama tanuru la tofari zilizochomwa katika hali ya kushangaza na shauku ya kutaka kung'amua mwonekano wa Binadamu huyu wa ajabu jicho langu lilitua mkabala na kidevu cha kiumbe huyu wa ajabu ambapo nilipigwa na butwaa kuona kidevu cha kiumbe huyu chenye mwonekano kama ngozi ya Chura wa nchi kavu kidevu hicho kilikuwa kimepambwa na nyewele fupi fupi zilizosimama kwa mbaali mithili ya majani yalioota baada ya kuchomwa moto

Hatua chache baada ya kupishana na binadam huyu wa ajabu ambae jinsia yake haikutambulika kiurahisi ilinibidi nigeuze macho kuangalia nyuma ndipo macho yangu yalipotuwa katika mgongo wa Binadamu huyu na kushuka hadi kunako sehem za kukalia za Binadam huyu ambazo zilionekana kama mti wa Manati uliovishwa suruali ya kubana

Hakika sikujua ni binadamu wa aina gani ile niliekutana nae kwa muda ule...

Ila ghafla lilinijia wazo nikavuta taswira na kukumbuka siku moja katika pita pita zangu katika mtandao wa kijamiii wa INSTAGRAM niliwahi kukumbana na picha ya kiumbe wa aina ile na baada ya kusoma jina lake pamoja na wasifu wake ambao ulisomeka hivi......

" dont judge my life b4 you judge your self i am classic gay"

Ndio nikapata picha halisi ya aina ya Binadamu niliyekutana nae na kumshuhudia kwa jicho langu
Kusema kweli binafsi hadi saiz nahisi kichefu chefu moyonii mwangu nina mgogoro wa nafsi juu ya mtu niliemwona kwani anatia kinyaa hata ukimwona na picha yake inajirudia machoni kwangu kiufupi nimekosa amani nahisi kama leo nimetembea na mkosi
Kiufupi ni kwamba nikipata nafasi ya kutamka neno moja kitu kiondolewe duniani nadhani hawa jamaa wanaojiita MASHOGA ndio ningeanzia alafu ndo wengine wafuatie
 
Maxmizer

JF-Expert Member
Aug 14, 2016
4,821
2,000
ngoja watu wa haki za kibinadamu waje kumtetea

ila nawewe kwa uandishi huu ni kama vile story/simulizi
 
Jambazi

JF-Expert Member
Jan 18, 2014
16,590
2,000
Kama huna mpango wa kuwa na watoto unaruhusiwa kuongea ulicho kiongea ila kama una mpango wa kuwa na watoto wa kiume jiandae kisaikolojia, Mwenyezi Mungu hadhihakiwa, ni bora uwaone Mashoga na kujisemea kimoyo moyo Asante Mungu unapita zako kimya kimya,
 
MKWEPA KODI

JF-Expert Member
Nov 28, 2015
28,770
2,000
Mimi hao siwalaumu sana kwa sababu ndivyo walivyoumbwa, mimi nawalaumu wanaume wenzetu wanaosimamisha au kuwatamani wanaume wenzao wakati wanawake ni wengi sana na wanakupa chochote unachotaka
 
JWKRMM

JF-Expert Member
Sep 17, 2017
1,561
2,000
Wana jukwaa mimi sio Muanzishaji wa nyuzi mara kwa mara humu Jf kwa sababu zilizo ndani ya uwezo wangu.
Ila leo nilikuwa nipo mitaa fulani katika chuo fulani nikakutana na Mtu mmoja ambae kiukweli ilinichukua mda Mwingi sana kutafakari kuhusu maisha yake pamoja na jinsia yake
Kwa haraka haraka alikuwa kijana alionekana mweupe Usoni ueupe uliochachuka ila katika sehemu zake za mwili zilizoweza kuonekana kwa uwazi kutokana na vazi lake alilokuwa amevaa zilionekana nyeusi mithili ya samaki aina ya kambare alietolewa ziwani

Mtu huyu ambae hadi saizi sijampatia majibu vizuri kuhusu jinsia yake alikuwa amevalia nguo iliyochora viungo vyake kisawa sawa kwa msemo wa vijana wa kisasa wanaita skin tait yaan maaana yake kibana ngozi

Hatua chache kutoka mbele yangu akisogea karibu na usawa wa macho yangu nilipata kumtazama vizuri usoni mwake, Uso wa mtu huyu ulionekana kama tanuru la tofari zilizochomwa katika hali ya kushangaza na shauku ya kutaka kung'amua mwonekano wa Binadamu huyu wa ajabu jicho langu lilitua mkabala na kidevu cha kiumbe huyu wa ajabu ambapo nilipigwa na butwaa kuona kidevu cha kiumbe huyu chenye mwonekano kama ngozi ya Chura wa nchi kavu kidevu hicho kilikuwa kimepambwa na nyewele fupi fupi zilizosimama kwa mbaali mithili ya majani yalioota baada ya kuchomwa moto

Hatua chache baada ya kupishana na binadam huyu wa ajabu ambae jinsia yake haikutambulika kiurahisi ilinibidi nigeuze macho kuangalia nyuma ndipo macho yangu yalipotuwa katika mgongo wa Binadamu huyu na kushuka hadi kunako sehem za kukalia za Binadam huyu ambazo zilionekana kama mti wa Manati uliovishwa suruali ya kubana

Hakika sikujua ni Binadam wa aina gani ile niliekutana nae kwa mda ule...

Ila gafla lilinijia wazo nikavuta taswira na kukumbuka siku moja katika pita pita zangu katika mtandao wa kijamiii wa INSTAGRAM niliwahi kukumbana na picha ya kiumbe wa aina ile na Baada ya kusoma jina lake pamoja na wasifu wake ambao ulisomeka hivi......

" dont judge my life b4 you judge your self iam classic gay"

Ndio nikapata picha halisi ya aina ya Binadamu nilikutana nae na kumshuhudia kwa jicho langu
Kusema kweli binafsi hadi saiz nahisi kichefu chefu moyonii mwangu nina mgogoro wa nafsi juu ya Mtu niliemwona kwani anatia kinyaa hata ukimwona na picha yake inajirudia machon kwangu kiufupi nimekosa amani nahisi kama leo nimetembea na mkosi
Kiufupi ni kwamba nikipata nafasi ya kutamka neno moja kitu kiondolewe dumiani nadhani hawa jamaa wanaojiita MASHOGA ndio ningeanzia afu ndo wengine wafuatie
Na laani wanaotoka nje ya ndoa
 
Joseph lebai

JF-Expert Member
Jul 19, 2017
4,488
2,000
Wao ndio devil worshipers kwani wanatumia lugha ya kunena ambayo ina wenyewe, wanafiki wa kiwango cha uprofessor
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom