Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Kwema wakuu, Nauliza wapi nitapata huduma ya GYM (,sehemu ya body building) maeneo ya kuanzia, Africana, kuja Tegeta, Bunju, au hata Bagamoyo, ili ku stay in shape na kupunguza calories.
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Kiwango cha juu ni gbp 1200 kumhonga demu. Lakini kwasasa nalaumiwa kutohonga kwani nimejifunza no matter how much you give out, they will always keep complaining... siku hizi nikitoka na demu...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Hii saga ilipita na akina Gabriel Zakaria. Clouds wamefanya makosa TCRA wamepita nao kama mwewe. Je,TBC walilupishwa?
3 Reactions
7 Replies
1K Views
Kufuatia mfumo mpya wa usahishaji mitihani ambao umechukua siku 18 tu kusahisha mitihani yote ya watahiniwa wa kumaliza elimu ya msingi Nchini Kenya, Rais Kenyatta ameagiza wanafunzi ambao kwa...
0 Reactions
0 Replies
894 Views
1. ikitokea CCM inashirikiana na TCRA kuchambua posts na habari za watu kadhaa then wanapata post yenye ishara ya kukuweka 30yrs jela, then unaitwa kwasiri unaambiwa kijana the best option ni...
2 Reactions
1 Replies
921 Views
Kuna jamaa mmoja ni mwalimu alinikopa laki tatu nikampa akaniahidi atarudisha mapema lkn hadi sasa ni miezi sita imepita kwenye cm hapatika halafu cha kushangaza zaidi ameibainika alikugushi vyeti...
0 Reactions
38 Replies
3K Views
nakumbuka mh Rais alipotembelea TBC pale aliongelea kuhusu hawa makanjanja wa kichina! cha kushangaza mpaka leo wanakula bata na WANAPANDISHA bei za vifurush kila kukicha! swali langu je nani yupo...
0 Reactions
3 Replies
978 Views
Natamani tuwe na Tanzania bora.Natamani tuwaachie watoto wetu nchi iliyojengeka ktk misingi bora ya kujitambua,kujiamini na kujieleza. Ninawaasa vijana wenzangu tujitahidi kutumia fursa na hasa...
2 Reactions
5 Replies
1K Views
Habari zenu members wa jukwaa pendwa la JF, kama kichwa cha habari kinavojieleza ningependa kuanzisha kamsemo kapya"Tunajengelea makaburi'' nafikiri itapendeza zaidi. Bila kuwachosha ngoja nianze...
0 Reactions
3 Replies
982 Views
Hapa Ukonga Banana kuna harufu mbaya sana kama mzoga. Naomba wakazi wa eneo hilo wamuone afisa afya achukue hatua za haraka kuokoa maisha ya watu.
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Habarini wana bodi. Nitumie muda huu kuwakumbusha vijana muache kuwa makarai maana mtatumika na baada ya kazi kukamilika mtatupwa tu. kila mtu apambane na hali yake na jiongeze panapobidi...
2 Reactions
9 Replies
1K Views
Nimekua nikisikiliza watu kwenye TV wakiongelea kwamba tatizo la ukosefu wa ajira kwa wahitimu wa vyuo vikuu ni kutokuwa mfumo wa kufundisha wanafunzi kujiajiri katika vyuo vyetu.Mimi naomba...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wataalamu wa anga za juu wamegundua sayari isiyo na joto sana na yenye ukubwa unaokaribia sana na wa dunia. Sayari hiyo inapatikana karibu na mfumo wetu wa Jua. Mandhari katika sayari hiyo...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
WAJUMBE wa Mamlaka ya Mji mdogo wa Mirerani, wamewataka wauzaji wa mabucha ya nyama kwenye eneo hilo kushusha bei ya kitoweo hicho kwa kuwa haiendani na hali halisi. Mwenyekiti wa mamlaka ya mji...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Livestock and fisheries minister Luhaga Mpina has directed authorities in Kagera Region to nationalize and auction a total of 6,648 head of cattle from Uganda confiscated recently from the Misenyi...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
JINSI YA KUTAMBUA KIPAJI CHAKO Huu ndio mfumo rasmi wa maumbile ya binadamu. kwamba kila kitu ndani yetu hujiumba kupitia namna ya mawazo yasiyo wazi sana katika ufahamu wetu. Nayo hukua taratibu...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Idadi ya mabilionea wa Tanzania kwa mujibu wa Jarida la Forbes inaendelea kuongezeka wakati taifa hilo liking’ara kiuchumi kulinganisha na mataifa mengine ya Afrika Mashariki. Mbali na majina...
27 Reactions
308 Replies
46K Views
Hata jogoo ukimkata shingo yake ghafla na kutenganisha kichwa na kiwiliwili kichwa kinaweza kuendelea kuwika. Hofu na kelele nyingi zinazosikika nchini inawezekana kabisa zikawa ni za wale...
1 Reactions
24 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…