Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Maiti ya kijana Kassim Said Mboya mkazi wa jijini Dar es salaam imekutwa na kete 65 zinazodhaniwa kuwa ni za madawa ya kulevya, maiti ya kijana huyo ilikutwa kwenye basi la kampuni ya Taqwa eneo...
4 Reactions
106 Replies
36K Views
Tunapiga Hatua Kupambana na VVU/UKIMWI Tanzania. Muhimu: Tusimuache mtu yoyote Nyuma! Ripoti ya Utafiti wa Maambukizi ya VVU/UKIMWI uliofanywa na Taasisi ya Takwimu ya Taifa (NBS) ya 2016/17...
1 Reactions
1 Replies
761 Views
Habari za Jumamosi wanajamvi, Tafadhali mwenye ufahamu wa masuala ya usalama barabarani naomba anieleweshe kuhusiana na hili. Alfajiri ya leo nikiwa namsindikiza ndugu yangu stand kuu ya mabasi...
0 Reactions
14 Replies
4K Views
Kampuni ya glasgow onternation gt ya dubai imekubali kuanzisha kampuni mpya hapa tanzania itakayoitwa tanzania airways,.itakayokuwa ikifanya safari zake mwanza kigoma mtwara na kwingineko safari...
2 Reactions
16 Replies
3K Views
Aman iwe nanyi wapendwa Kama kichwa cha habar kinavyosomeka hapo juu Kuhusu yanayoendelea nchin msishangae sana wazee Mzee ashasema polisi ukikutana na jambaz muwashe kabla hajakuwasaha Na...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Ni wazi kwamba Rais aliyepo pumzi imekata katika kufanya vitu vya maana,imebaki kutia watu hofu.maigizo ya bandarini yasiyoisha yaani amekuwa kama movie star wa movies za kivita ambaye maadui kama...
4 Reactions
26 Replies
3K Views
Kihistoria taasisi ya urais Tanzania inaheshimika sana. Ukiangalia utawala wa Nyerere, Mwinyi kidogo pamoja na kwamba aliichezea sana taasisi lakini Mkapa alirudisha heshima. Ukweli JK ameifanya...
30 Reactions
111 Replies
12K Views
Jeshi la Polisi mkoani Iringa limewaua majambazi watano katika eneo la Kware kata ya Ruaha Mbuyuni wilayani Kilolo waliokuwa katika maandalizi ya kuvamia na kupora katika moja ya maeneo ya...
1 Reactions
8 Replies
5K Views
Hii ni documentary ya siku 100 za kwanza alizoingia White House. Obama alikuta nchi iko kwenye mdidimio wa uchumi. Ukiangalia hatua alizochukua na tubavyofanya sisi hapa kwa kweli hata miaka 1000...
1 Reactions
13 Replies
1K Views
TAMBA KATIKA KUTUMBUA: Wewe Makengeza, huna akili. Wizara yako ya Mama na Mwana na Babu na Bibi na nani zaidi sijui haina akili pia. Eti, jitambue, Jitumbue. Hapana. Hata kidogo. No. La hasha...
2 Reactions
1 Replies
3K Views
Nawakumbusha ndugu zangu wapinzani kwamba watanzania ambao mmetumia muda wenu mwingi kuwatetea hawaoneshi kutambua kazi na sacrifice mnazofanya. Kwamfano mnawatetea watumishi waboreshewe maslahi...
0 Reactions
3 Replies
815 Views
Habari wanajamvi!!!! Nina rafiki yangu anataka kuchukua likizo bila malipo,ni mwajiriwa serikalini,idara ya elimu. Je,ni taratibu zipi afuate ili kupata hiyo likizo ya bila malipo? Ameulizia...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Habari zenu wandugu, natafuta kitabu cha [Hekaya za Abunuwasi] hata kwa kununua ....kikiwa softcopy (pdf) au hardcopy ni sawa tu...ni PM kama unacho tufanye business..
0 Reactions
33 Replies
11K Views
Chukua pop corn, tamthilia yetu inaendelea, hawa ndiyo next in line, naona chadema wamekomaa na kutekeleza ahadi kwa wapiga kura wao, ni kujiteka na kujikamatisha tu kama Tundu Lisu mpaka 2020,..
4 Reactions
9 Replies
1K Views
Wakuu chadema ni moja kati ya chama cha upinzani kilicho imara zaidi nadhani Africa mashariki... Tatizo lililo ibuka sasa hiki chama kimeingiliwa na wachumia tumbo kutoka ccm.... Kuanzia ngazi ya...
2 Reactions
12 Replies
1K Views
Kumekuwa na ile fixed time ambayo ukilipia huduma ya king'amuzi kama ni kwa mwezi basi mwezi ukiisha unakatiwa huduma na hapo utatakiwa kulipia tena pasipo kujali tv umeitumia mara ngapi, hata...
7 Reactions
12 Replies
1K Views
Betri hiyo inatumika kuzalisha umeme wa solar. Hii ni changamoto kwa mikoa ya kati kama Dodoma ambako kuna jua la kutosha kuweza kuzalisha zaidi ya megawatt 100. We should move to solar energy.
0 Reactions
12 Replies
2K Views
naomba mwenye kujua kama tanga kuna ofisiz za TCRA anijuze tafadhali
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Tatizo la maji katika wilaya Serengeti kata ya Kenyamonta kijiji cha Nyagasense ni usanii mtupu, mwaka 2015 mnamo mwezi wa tano waziri wa M maji Prf. Maghembe alizinduwa mradi wa maji kijijini...
0 Reactions
0 Replies
627 Views
Wamechoka kila mara wanaangalia saa dakika ndo bado kipindi cha kwanza na ndo kwanza Sisi tunapiga zile Pasi za kibrazil aka Samba tukichanganya na mtindo wa total football na zile pasi fupi fupi...
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…