Life2
JF-Expert Member
- Jun 8, 2016
- 3,387
- 4,880
Wamechoka kila mara wanaangalia saa dakika ndo bado kipindi cha kwanza na ndo kwanza Sisi tunapiga zile Pasi za kibrazil aka Samba tukichanganya na mtindo wa total football na zile pasi fupi fupi za Kispaniola,wapinzani hawajui wakabe nani kwani kila mchezaji wetu yupo vizuri balaa sio mashuti ya mbali,Vyenga,Kanzu zinapigwa.
Na bado dirisha la usajili lipo wazi na kocha mkuu kamwandikia barua mmiliki wa timu anahitaji kusajili zaidi,mmiliki hana shida kamwambia kocha bilioni kadhaa za usajili zipo yeye tu atazame idara ipi ina mapungufu.
Dk 40 yule anatupatia goli la 6 hali ni mbaya kwa upande wa timu ya upinzani wameanza kusema kipa wao kala mlungula nahisi kipindi cha pili watabadili kipa na kuja na mbinu mpya kabisa.
Dk ya 85 kipindi cha pili yule yule tena anapiga goli la 7 na kuhitimisha hattrick yake japo wapinzani walikuja na mbinu ya kupaki meli ila bado nyavu zao zinatikiswa tu,baadhi ya wachezaji wa timu ya upinzani wameanza kutoka uwanjani kabla mpira kwisha haaa wapinzani wameweka mpira kwapani na kuanza lawama kwa refa kwamba anatupendelea refa anasema iwe isiwe lazima kombe linyakuliwe wapinzani hoi.
Full time Wapinzani 1 Sisi 7...
[HASHTAG]#Lazima[/HASHTAG] kombe linyakuliwe tafakari.