Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Wakulima wa korosho ktk nchi hii inayowajali na kuwasimamia wanyonge wananyanyasika ktk kupokea malipo ya korosho zao walizouza kiasi ambacho iko wazi mazingira ya dhuluma dhidi yao yanaandaliwa...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Sijui Nyerere alikuwa anawaza nini kuchagua Dodoma, angalau hata angeenda mbele kidogo na kuchagua Singida pale kuna Ziwa Singida, au angeingia my favoutite city in TZ Iringa kuna mto Ruaha, sasa...
3 Reactions
129 Replies
21K Views
Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) imesema tatizo la ukosefu wa ajiri nchini limepungua. Mkurugenzi wa Shughuli za Takwimu, NBS Irineus Ruyoby amesema kwa mujibu wa takwimu walizonazo kwa sasa...
0 Reactions
44 Replies
7K Views
Habari za siku humu jukwaani. Watu saba wafariki hapo hapo na wengine kujeruhiwa baada ya basi la kampuni ya Saratoga kugongana uso kwa uso na basi dogo aina ya hiace ktk kijiji cha kabeba mkoani...
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Habari zenu wakuu. Kuna tukio nililifanya mwaka 2005 kila nikifikiria naona kama roho inaniuma na nikizingatia sijuzowea ule mchezo. Suala lenyewe ni kama ifuatavyo: Kuna gheto alikua anakaa...
2 Reactions
77 Replies
6K Views
Kama kwako uaminifu ni 0% subiri tu kufa maskini maana kama wewe ni Mfanyabiashara huna sifa yoyote ya kuwa mwaminifu subiri tu kufilisika hata kama unamtaji wa milioni 200
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wakuu naombeni msaada kwa anaeweza kunisaidia hili au ambae anajua hii inatokana na nini ni vizuri anishauri, Nimeanzisha biashara yangu ndogo ila cha kushangaza naweza kuchukua mzigo wa kuuza...
1 Reactions
61 Replies
7K Views
Habar zenu wadau, Kwa mujibu wa sheria na maagizo ni lazima kila ofisi ni jambo zuri lakini kwa nini picha hizi kwenye taasisi za umma wasingekuwa wanatoa bure? Picha za Rais inauzwa kuanzia Tsh...
1 Reactions
6 Replies
4K Views
Habari wakuu. Kwanza natoa pole kwa wanafamilia, ndugu na jamaa wa vijana wetu waliopoteza maisha huko kongo. Kwa kweli ni jambo la kusikitisha sana. Nimefanikiwa kuopata kuwafaham vijana kama 4...
10 Reactions
176 Replies
19K Views
Habari watumishi wa serikali, Je wajua kuwa! unaweza kupata taarifa zako za kiutumishi pamoja na salary slip yako kupitia simu yako ya mkononi? Ni rahisi sana cha kufanya tembelea official...
20 Reactions
101 Replies
33K Views
Ndugu zangu najua wote humu wengi tumepitia ajira so me ni mwl nimeajiliwa nimeomba ruhusa kwenda shule ila ofisa Elimu wangu hataki na ninahitaji sana kwenda kusomea afya nomefaya maamuzi ya...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Emmanuel Richard, dereva maarufu kwa jina la Humbe (30), jana alihukumiwa kwenda jela miaka 20 na kulipa faini ya Sh. milioni 32.7 baada ya kukutwa na hatia ya kupatikana na nyara za serikali...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Habari wana JF,natumai nyote wazima na kama kuna yoyote hayupo sawa basi Mungu awe naye arudi kwenye afya yake ya zamani. Bado vyuma vimekaza na kama ni vita basi kwetu iwe mapema tuendelee...
0 Reactions
0 Replies
673 Views
Gaudence lyimo ameteuliwa na CCM kugombea udiwani katika kata ya Kimandolu ambako uchaguzi umepangwa kufanyika January 2018. Gaudence sijajua kwa nini unadanganyika au umelazimishwa kaka? una...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Endapo kwa dhati kabisa watataka kuthibitisha hilo, waruhusu suala la katiba lirekebishwe na kufa fair kwa vyama vyote waone kama wataweza kuvimbisha vifua vyao mbele na pia ndipo watakapofahamu...
3 Reactions
22 Replies
2K Views
Wanajamvi, Nina mapenzi makubwa sana na jeshi la nchi yangu Tanzania. Mara nyingine natamani ningekuwa mmoja wao nikahusika kwenye oparesheni tamu kama za Kongo. Pamoja na hayo; kuna jambo moja...
1 Reactions
11 Replies
1K Views
Kuna kampuni inaitwa Positive Eye yenye ofisi zake ndani ya viwanja vya nanenane Arusha. Hawa wanajitangaza wanatengezeza mabwawa ya samaki ya kuhamishika nk. Mkurugenzi (anajulikana kama...
4 Reactions
29 Replies
8K Views
Naomba niwaulize hivi hamuoni kama walimu wanaibiwa? Mtumishi anakatwa asilimia 2% kila mwezi mpaka anastaafu. Halafu ana pewa kitambaa cha suruali na bandari ya bati tu. Huyu si unyonyaji wa...
2 Reactions
33 Replies
3K Views
Wadau Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa ( TAMISEMI) Mh Jafo amekutana na Wakuu wa Mikoa tarehe 19/12/2017 katika ukumbi wa mikutano wa Tamisemi ( Sokoine House)...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Mwisho wa course wahitimu wake hawako competent kipractical but wamejaa history tu za hayo masomo NA theory zake sababu ht muda wanaosoma ni mchache sana ukilinganisha na nchi nyingine mfn cause...
0 Reactions
0 Replies
594 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…