CCM si chama kinachopendwa na watanzania kama vile wanavyodhani

Crocodiletooth

JF-Expert Member
Joined
Oct 28, 2012
Posts
23,152
Reaction score
28,322
Endapo kwa dhati kabisa watataka kuthibitisha hilo, waruhusu suala la katiba lirekebishwe na kufa fair kwa vyama vyote waone kama wataweza kuvimbisha vifua vyao mbele na pia ndipo watakapofahamu upendwa wao kwa watanzania./
 
Ungeeleza hiyo katiba unaona itabadilishaje hayo unayodai?

Wengi mnalilia katiba katiba ila hamuweki mambo wazi mnaona kivipi?
Mtuambie na wengine tusiojua hiyo katika itabadilishaje.. maana katiba ni maneno tu na sio kwamba itabadilisha mtu akili yake eti apende upinzani kama anapenda chama tawala.. unajua pia uongozi wa Magufuli unazidi kufurahisha watu kwenye maeneo mbalimbali nchini.

Haya mwagikeni mtujuze tusiojua hayo ya katiba katiba katibaaaa....
 
Ukiona chama kinapigania uhai wake kwa njia ya risasi na mapanga badala ya sera, itikadi na falsafa zake ili kiendelee kuwepo kwake ujue hicho chama kimechokwa mpaka basi!
 
hata viongozi wenyewe wanajua hili ndio maana hawataki mikutano ya hadhara kwani wanaumbuka.
 
Ungeeleza hiyo katiba unaona itabadilishaje hayo unayodai?

Wengi mnalilia katiba katiba ila hamuweki mambo wazi mnaona kivipi?
Mtuambie na wengine tusiojua hiyo katika itabadilishaje.. maana katiba ni maneno tu na sio kwamba itabadilisha mtu akili yake eti apende upinzani kama anapenda chama tawala.. unajua pia uongozi wa Magufuli unazidi kufurahisha watu kwenye maeneo mbalimbali nchini.

Haya mwagikeni mtujuze tusiojua hayo ya katiba katiba katibaaaa....
mkuu ukiambiwa huyo mzee aliekuzaa sio baba yako, wewe ni mtoto haramu kwenye familia yenu utakubali??
 
Katiba pendekezwa ya tume ya Warioba mliipeleka wapi?

Ndio inayotakiwa.
 
Ukiona chama kinapigania uhai wake kwa njia ya risasi na mapanga badala ya sera, itikadi na falsafa zake ili kiendelee kuwepo kwake ujue hicho chama kimechokwa mpaka basi!
Na sitaili mpya ya kumwambia aliyejitoa, hujajitoa. Yaani Mimi nimekwambia sitaki kucheza na wewe wakupe point tu usipoteze muda wako, mwenzangu unasema sikubali mpaka tucheze. Au unataka kupata goli nyingi kwa vile Refa ni wako, na ushindi Wa mezani utakupa point 3 lakini goli 2 tu?
 
mkuu ukiambiwa huyo mzee aliekuzaa sio baba yako, wewe ni mtoto haramu kwenye familia yenu utakubali??

Aiseeeeee

Hayo yatakuwa yamekutokea wewe tena ukajia kupitia haja.. sasa unanibambikia mimi.
 
Ungeeleza hiyo katiba unaona itabadilishaje hayo unayodai?

Wengi mnalilia katiba katiba ila hamuweki mambo wazi mnaona kivipi?
Mtuambie na wengine tusiojua hiyo katika itabadilishaje.. maana katiba ni maneno tu na sio kwamba itabadilisha mtu akili yake eti apende upinzani kama anapenda chama tawala.. unajua pia uongozi wa Magufuli unazidi kufurahisha watu kwenye maeneo mbalimbali nchini.

Haya mwagikeni mtujuze tusiojua hayo ya katiba katiba katibaaaa....
Katiba ndio hoja iliyobaki kwa upinzani kukemea ufisadi siku hizi ni jambo la aibu kwao.
 
Ungeeleza hiyo katiba unaona itabadilishaje hayo unayodai?

Wengi mnalilia katiba katiba ila hamuweki mambo wazi mnaona kivipi?
Mtuambie na wengine tusiojua hiyo katika itabadilishaje.. maana katiba ni maneno tu na sio kwamba itabadilisha mtu akili yake eti apende upinzani kama anapenda chama tawala.. unajua pia uongozi wa Magufuli unazidi kufurahisha watu kwenye maeneo mbalimbali nchini.

Haya mwagikeni mtujuze tusiojua hayo ya katiba katiba katibaaaa....

Mi nadhani kwenye suala la uchaguzi mapendekezo yangu Ni mwyk wa asichaguliwe na mwyk wa ccm, haji mkuu pia asichaguliwe na mwyk wa ccm, wakurgenzi wa wilaya wasiwe wasimamizi WA chaguzi, hapo ndo tutajua Chama kipi kimepewa ridhaa na wananchi kuongoza nchi.
 
Wanajua hilo kama demu hakupendi utaishia kumuonga hela tu
 
Kaka tupo pamoja na CCM si kwa kupenda bali ni utii bila shurti.
 
Ungeeleza hiyo katiba unaona itabadilishaje hayo unayodai?

Wengi mnalilia katiba katiba ila hamuweki mambo wazi mnaona kivipi?
Mtuambie na wengine tusiojua hiyo katika itabadilishaje.. maana katiba ni maneno tu na sio kwamba itabadilisha mtu akili yake eti apende upinzani kama anapenda chama tawala.. unajua pia uongozi wa Magufuli unazidi kufurahisha watu kwenye maeneo mbalimbali nchini.

Haya mwagikeni mtujuze tusiojua hayo ya katiba katiba katibaaaa....
Wewe ni mrundi hauwezi jua adha yetu
 
Back
Top Bottom