Chriss Jericho
JF-Expert Member
- Jul 26, 2017
- 257
- 399
Huo ujumbe nimeupata sasa hivi walivyo wajinga madai ya nimeshinda alafu namba waliyonitumia ujumbe wa zawadi wametumia voda kutuma zawadi ya Tigo pesa[emoji23] [emoji23] [emoji23] hii kali kweli, naona vyuma vimekaza Mr Shija poleeeee......