Mtangazaji wa tv Chanel Ten leo saa moja usiku alikuwa kituko

Shoctopus

JF-Expert Member
Dec 29, 2015
3,434
1,985
Msomaji mkuu wa taarifa ya habari leo jioni ktk chnl 10 (mwanamama) alionyesha kituko kwa kuziba sehemu ya sura yake kwa nywele! Ingawa wahusika walirekebisha hali hiyo haraka, madhara yalishafanyika ambayo ni:

1. Kuharibu maudhui (presentation) ya taarifa ya habari kwa kumpunguzia/kudhoofisha ufuatiliaji makini wa mtazamaji kwenye taarifa ya habari.

2. Kufanya mtazamaji hasa watu makini kufadhaika kutokana na ukweli kwamba nywele zenyewe ni za bandia (wig) la kizungu! ambazo haziendani uhalisia au utamaduni na uafrika kwa ujumla.

3. Inatoa picha kwamba huyo mhusika yupo pale kuonyesha sura yake badala ya kutuletea TAARIFA YA HABARI.

Ingefaa waige wenzao wa CNN BBC nk ambao hawajipambi ma-lip stick wala mawanja na urembo wa ajabu ajabu.
Sitaki kumtaja jina mhusika (kutunza heshima yake) na kwavile Labda hajuwi/hakujua impact ya kituko kile yafaa tumpe support na kumsaidia kurekebisha. Ni msomaji mzuri tu wa habari.
 
Nimemkumbuka Gentamycine mdau wa tasnia ya habari
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom