Naipenda sauti ya Da Zuu

Naipenda sauti ya Da Zuu

Nkungulume

JF-Expert Member
Joined
Nov 25, 2015
Posts
2,987
Reaction score
1,210
Hodi jamvini kwa kweli lazima niseme ukweli sauti ya mtangazaji Da Zuu wa cloud radio.
Naipenda sana anapo tangaza natamani aendelee kwa wale mlio karibu naye mfikishieni salam zangu.
Toa hisia zako kama kuna mtangazaji unayempenda kwa namna yeyote ile povu kafulie nguo hapa halitakiwi.
 
sio da zuu ni dahuu!
 
Nilisikia hata yeye akidai anaupenda uandishi wa NKUNGULUME wa JF .Hapa tuasema mbuzi kafia kwa muuza supu.
 
Asante mkuu kwa kuniweka sawa

myafute@ig umwambie....

e29c5213e260d1e52e0d169401661444.jpg
 
Nilisikia hata yeye akidai anaupenda uandishi wa NKUNGULUME wa JF .Hapa tuasema mbuzi kafia kwa muuza supu.
[emoji12] [emoji13] mkuu mm napenda sauti tu mkuu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom