Wajuzi wa mambo naomba tushirikishane hapa

Daisam

JF-Expert Member
May 23, 2016
2,626
3,141
Je, ni halali kutoa fedha kwa ajili ya huduma uliyopewa katika ofisi za umma?
Kuna baadhi ya ofisi(Taasisi) zinatoza fedha kwanza ndiyo ziweze kukuhudumia, hasa pale panapohusu kusainiwa nyaraka zako na kugonga mhuri wa taasisi hiyo. Je, hii siyo rushwa?

Taasisi zisizojihusisha na rushwa hizo ni SHULE. Sijawahi kuona MWL. MKUU /MKUU WA SHULE anaomba anauliza kwanza kama una shilingi ili akuhudumie. Karibu kwa maoni.
 
Hivi nyie wajuvi ni kwamba hamjaona ama mnatafakari namna sikukuu itakavyokuwa ngumu mwaka huu?
Njooni bhana tunasubiria unyambulishaji hapa.
 
Back
Top Bottom