Boniphace Kichonge
JF-Expert Member
- Jul 31, 2017
- 1,606
- 1,956
Wadau
Wafalme wafuatao waliuawa wakati wa zoezi la kugawa urithi WA ardhi kwa Watoto wa Yakobo kwa mujibu wa hadidu za rejea zilizotolewa na Yehova mwenyewe.
Wafalme hawa walikuwa na nguvu kubwa sana za kijeshi lakini hawakufua dafu mbele ya jeshi imara la Wana wa Yakobo.
1. Mfalme wa Hebroni
2. Mfalme wa Jerusalem
3. Mfalme wa Lakishi
4. Mfalme wa Legloni
5. Mfalme was Yarmuthi
Hao wote walijaribu sana kuwazuia wana wa Yakobo kuitwaa nchi waliyopewa na Yehova ikiwemo Mji Mtakatatifu.