Tatizo la Zimbabwe ilikua chama au mtu

koyola

JF-Expert Member
May 20, 2015
2,645
1,747
Umeona yaliyotea huko Zimbabwe yakawa na ushabiki mwingi wa kisiasa na wengi waliyatolea mfano mageuzi yaliyofanyika huko na kushabikia baadhiyao hata sisi walipendezewa na kuona kama mfano yaliyotokea Zimbabwe
Tulirudi nyuma kuangalia Tatizo ni mtu mgabe au chama
Kama ni mgambe azungumziwe kwa nanna yake na kama chama ZANUPF basi kikosolewe kwa ujumla wake
Pamoja na tofauti za kushabikia lakini bado ZANUPF inatawala hapo kaondoka mtu sio chama
Furaha ya ushabiki ni kuondoka kwa mugabe sio ZANUPF
Mageuzi ya kweli yangekubalika kama maana Tsvangirai chama chake wangechukua madaraka au serikali mseto ingekuepo
Kwamtazamo huu bado mageuzi ni kupumzishana kwa stail flani
 
  • Thanks
Reactions: 454
Mtu...maana chama kinategemea mtu ama watu wakivuruga hakika chama kinakuwa hovyo.
 
Leo nmeona kwny Al-jazeera kuna mkulima wa kizungu karudishiwa shamba lake na rais
 
  • Thanks
Reactions: 454
Mtu...maana chama kinategemea mtu ama watu wakivuruga hakika chama kinakuwa hovyo.
Kwa hiyo mtu mugabe ndo alikivuruga chama?na watu wakakirejesha kwenye itikadi yake,
Ndo tujue tulaumu mtu (watu baadhi)sio chama
 
Tatizo Lipo Kwa mtu,Tazama hapa kwetu Ccm ni wezi sana lkn wamekutana na chuma hawaibi tena
 
Back
Top Bottom