getrusa
JF-Expert Member
- Aug 16, 2013
- 2,150
- 1,824
Wakuu ninaleta kero hii hapa barazani..
barabara ya kwenda kiwanda cha magari ya Jeshi Nyumbu na makao makuu ya landforce command Msangani.!
ina mashimo mashimo mengi na kila msimu wa Mvua ukifika inakuwa balaa.
barabara hii imekuwa ikiwekewa kifuasi kila baada ya mvua.
Najiuliza je gharama hizi za kuweka kifusi hazifanani ba gharama za kuweka lami..?
Kama mitaa ya kibaha maili moja inawekwa lami je si zaidi sana njia inayoenda kwenye kambi muhimu ya Jeshi..? Naomba kuwasilisha.