Ni kweli anastahili kuitwa baba mdogo

Ni kweli anastahili kuitwa baba mdogo

fizo talent

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2017
Posts
2,256
Reaction score
3,890
Habarini wadau,km heading inavyojieleza hapo juu nina jamaa yangu mmoja ameoa mahala fulani na binti aliyemuoa ana dada ake ambae amezaa mtoto mtoto.
Kawaida kwa kwetu tz km ukioa na mkeo anaitwa mama mdogo bac na ww unaingia moja kwa moja kwenye familia kwenye familia kwa kuitwa baba mdogo.
Sasa ishu ni kwamba jamaa amemzidi umri huyo Dada wa mke wake ambae ndio sababu kubwa ya kuitwa baba mdogo...Ndio hapa nataka nijue ni sahihi kuitwa baba mdogo au si sahihi kwa kigezo kua amemzidi umri huyo shemeji yake
 
kwa lugha ya malikia tuna mwita uncle
 
Back
Top Bottom