RUZUKU RUZUKU RUZUKU YETU

RUZUKU RUZUKU RUZUKU YETU

Mugabe one

JF-Expert Member
Joined
Nov 15, 2016
Posts
2,327
Reaction score
1,684
Kheri ya kristmas Na mwaka mpya!
Wapendwa Mimi naomba tupeane taarifa Na kuelimishana kuhusu maswali Haya:
1.je wajua chama chetu CDM kinapata ruzuku shs ngapi kwa mwezi?
2.je wajua tunalipia pango la ofsi makao makuu DAR shs ngapi kwa mwezi.
3.je wajua kiasi gani cha fedha tumetumia kushughulikia KESI mbali mbali mahakamani hata zile za hovyo hovyo?
Je ni nani ana Audit na nani anadhibiti matumizi/malipo?
4.je kwa nini hizo Pesa za kulipia pango headq ni nyingi hivyo?
Karibuni wapendwa tunaokipenda chama chetu, tujadili tuelimishane tu.
36894e63050c636b7859a80ba5cd1688.jpg
 
Back
Top Bottom