Mwizukulu jilala
JF-Expert Member
- Jun 11, 2016
- 1,094
- 942
Umemaliza chuo na mpaka sasa hujapata sehemu ya kujishikiza unaamua kutoka kwenu kijijini unaenda mjini. Huko mjini unafikia kwa mshikaji wako au ndugu yako aliefanikiwa kiasi. ..amepanga anaishi chumba kimoja kwa sababu yeye tiali ni mzoefu wa mji unaendelea kuishi kwake, mwezi wa kwanza unaisha mpaka sasa imekamilika miezi mitatu ramani bado haijasoma, unaamua kutafuta kibarua chochote ili usiendelee kukaa bure, lakini cha ajabu unaamka asubuhi unarudi jioni huonyeshi tofauti yoyote ya kabla ya kupata kibarua na baada, bado unaendelea kugongea sabuni ya kufulia na kuogea mpaka mafuta ya kujipaka na yenyewe, kiufupi hutaki kabisaaa kujiongeza kwa kununua vitu vidogo vidogo, haiseeee jiongezeni la sivyo hao jamaa waliowabeba wataanza kuwadharau na kuwasimanga kinooma. ........