KACHINJA
JF-Expert Member
- Dec 26, 2015
- 1,262
- 871
Kama kichwa kinavyojieleza
Hata siku moja usije ukamlaumu, kudhihaki,kumtukana au kumpa kejeli mtu wa aina hiyo ujue amepitia au anapita kwenye changamoto nyingi sana, swala linalopelekea kutafuta njia ya aina yeyote ili atatue matatizo yake.
Wengine wanaimani ndogo sana ambayo ukimpa maneno mabaya anaweza kuchukua uamuzi mbaya
Humu ndani kila mtu anafahamu jinsi mawazo yanavyokuwa ukiwa kwenye matatizo.
Mfano
Kumbuka siku ambayo ulipatwa na matatizo ambayo wewe binafsi ulishindwa kuyatatua
-Je, ulikuwa kwenye hali gani?
-Je, kama ungeukosa huo msaada ingekuwaje ?
Hii dunia ina mitihani mingi tuliyoubiwa biaadam ili kutupima
Ni jambo la kumpa matumaini na kumtia moyo mhitaji saada ili afanikiwe.
Mwisho tupia tukio[shida] ambalo lilikushinda na jinsi ulivyopambana mpaka ukatapa msaada ili wengine wajifunze maana dunia duara (matatizo huwa yanafanana)