Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

“Nitakuzidishia uchungu wako katika kuzaa; kwa uchungu utazaa watoto…” Huu ☝️ mstari wa bibilia huwa unanifikirisha mno wakuu, kwa maana unaubaguzi mkubwa. Wote wenye tatizo la utasa (wasio na...
8 Reactions
67 Replies
809 Views
Ndecha kuanzia leo naanza Kukudharau.
12 Reactions
12 Replies
299 Views
Hapa ndio nyumbani, hapa ndio nilikozaliwa na kukulia. Hii ndio ardhi pekee najivunia nayo Samia, CCM na machawa wako wote ni takataka mbele ya Tanzania. Polisi wako wauaji, mafisadi wenu wote na...
1 Reactions
1 Replies
119 Views
  • Featured
Polisi Mkoa wa Unguja Kaskazini, Zanzibar wamesema Mwanamtandao Ashy Robinson maarufu kama Ashlee Jenae, Raia wa Marekani alifia Hospitali alikowaishwa baada ya kukutwa na Mhudumu wa Hoteli akiwa...
5 Reactions
38 Replies
2K Views
Matarajio katika Maisha Kuwa na matarajio katika maisha ni jambo zuri sana. Wanadamu hatuachi kuota ndoto za kufanikisha mambo mbalimbali, na hilo ndilo linaloonyesha ubinadamu wetu. Ndoto na...
6 Reactions
5 Replies
162 Views
Hotuba ya Mwenyekiti wa Tume, Jaji Mkuu Mstaafu Mohamed Chande Othman, iliyowasilishwa Leo (tarehe 23 Aprili 2026), inatoa picha halisi, nzito, na ya kusikitisha kuhusu kile kilichotokea wakati na...
1 Reactions
4 Replies
235 Views
Miaka 6 iliyopita nilikuja DSM kutafuta maisha kutoka mkoa fulani nikiwa na elimu ya form 4 tu, basi nikawa napiga mishemishe huku najisomesha nakaa kwa washikaji tu. Hatimae naliaga jiji la Dsm...
13 Reactions
40 Replies
577 Views
Anonymous (2197)
Mtazamo wangu ni kuwa Shirika la Posta ndilo shirika lisilojielewa kuliko mashirika yote ya umma, ni vile tu huduma zake mbovu hazionekani kirahisi. Mimi nipo Dodoma, nina sanduku langu la barua...
0 Reactions
1 Replies
90 Views
Vuta picha uyo ndio baba yako amevaa vizuri,kwa heshima na anafuatwa na v8 aenda kuleta ulongo uku ukweli anaujua
4 Reactions
12 Replies
168 Views
Ningeshangaa report iandaliwe na Mzanzibari asimlinde dada yake? Hivi huku Tanganyika alikosa mzalendo wa kufanya uchunguzi? Watanganyika waliohudhuria wao ni kupiga makofi pindi ripoti ya tume...
6 Reactions
10 Replies
228 Views
Habari wana JF Maisha ya mwanadamu yana mapito mengi sana, nakumbuka wakati nikiwa kijana, damu bado inachemka nilikua nagonga vyupa vya kutosha, mchana unasogoea msasani beach club kupiga beer...
19 Reactions
156 Replies
18K Views
Waliruhusiwa machawa wachache ku-comment ili sisi wengine tulipigwa pini tusitoe mawazo yetu wakati Jaji Chande alipokuwa anawasilisha ripoti yake ya mauaji ya MO29. Kulikoni Ikulu ya Tanzania...
0 Reactions
0 Replies
106 Views
TEC Wakatoliki Wenzenu tunasubiria tamko lenu baada ya Upuuzi usiovumilka wa Jija Ndecha leo.
3 Reactions
4 Replies
134 Views
Kwa hali jinsi ilivyo tusitegemee mtu kutoka visiwani au Comoro aje aipiganie nchi yetu Tanganyika Yule asuman wa tume nadhani ni mvisiwan yule ni ngumu SANA kukubal hali ya uchaguzi uliopita...
4 Reactions
3 Replies
191 Views
Amisa alisema mara mbili kuwa kilictokea kilifanywa na Wageni ila leo Ndecha wakati nae akitudanganya na kupoteza Kwake muda kwa Siku 153 alizopewa nimemsikiliza mwanzo hadi mwisho sikumsikia...
6 Reactions
11 Replies
336 Views
Anonymous (c258)
Malalamiko yangu kwa vyombo vinavyohusika na usalama wa mitandao nchini hayajatokana na chuki, bali ni matokeo ya uchungu mkubwa ninaouona katika mwelekeo wa maadili ya jamii yetu. Kwa muda sasa...
0 Reactions
3 Replies
121 Views
Nimegundua hii kauli hutoka zaidi kwa watu ambao hawana hela sana. Je ni kweli kwamba hela si muhimu sana, au ni njia ya kujifariji tu? Na kama si kila kitu, basi ni kitu cha ngapi? Naomba...
6 Reactions
84 Replies
805 Views
Anonymous (c258)
Nina siku ya pili napiga simu ya huduma kwa wateja NHIF na haipokelewi hii ni kero kubwa kwani kuwepo kwa huduma hii inatusaidia sisi kwenda kurundikana kwenye ofisi zao. Napiga namba...
0 Reactions
1 Replies
121 Views
Anonymous (c258)
Habari JamiiForums. Poleni kwa majukumu mnayoyafanya ya kufichua changamoto zilizopo katika jamii na mamlaka husika kuzifanyia kazi changamoto hizo. Kero yangu ni kwamba, sisi wakazi wa Goba...
0 Reactions
0 Replies
174 Views
Back
Top Bottom