Baada ya kuwa chini ya utegemezi wa wazazi na uangalizi baada ya kumaliza chuo ni kama kuku aliyefunguliwa bandani akajitafutie chakula umejipangaje?
Kurudi nyumbani ukapambanie ugali wa wazazi...
Hii inakuhusu Waziri wa mambo ya ndani, Mkuu wa mkoa Manyara, RPC mkoani Manyara.
Kuna baadhi ya Police kama Muhsin, Said na Salum wana tabia ya kupiga makofi na mabuti.
Kuna mwingine anafikia...
Jamaa zangu wa karibu ninaofanya nao biashara wa 3 walikufa October 29 mwaka Jana.
Aisee nasikia uchungu Sana Leo nimetoneshwa kidonda I'm so sorry nimekumbuka mambo mengi Sana ambayo nilikuwa...
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imetoa wito kwa nchi wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) kuimarisha zaidi ushirikiano wa kikanda katika kulinda na kusimamizi endelevu wa mazingira na...
Askofu Agapiti Ndorobo wa Jimbo Katoliki la Mahenge Ashindwa kuvumilia wakati Jeneza la Askofu Bernadin Francis Mfumbusa likishushwa Kaburini, Asogea Karibu kumuaga na kumuona kwa Mara ya mwisho...
Ni tukio lililopita ila limeniachia alama kwenye maisha yangu
Ni Baada ya kuachana na kazi za utumishi wa umma yaani kazi za kiserikali na kuingia kwenye biashara za mbao na kukua kiuchumi
Siku...
Mkuu wa kanda ya kati Vodacom Tanzania Plc Chiha Nchimbi (katikati) akifafanua kuhusu huduma ya afya mkopo kwa Naibu Waziri wa afya Dk Florence Samizi aliyetembelea banda la Afya mkopo katika...
Mimi ni Mtanzania ninayeishi Marekani, kuna Mtanzania mwenzetu mbaye alikuja kama Mwanafunzi hapa, sijui vizuri kuhusu historia yake huko nyuma.
Miaka kadhaa iliyopita alipata changamoto ya Afya...
Atakutesa lakini atakulaumu kwa nini unalalamika unaumia.
POLENI SANA.
Historia ya masikini inaandikwa chooni, historia ya mshindi inaandikwa kwenye vitabu.
Mshana Jr
min -me
ngara23
"Tumesikia masuala yaliyobainishwa na tume pamoja na mapendekezo kwa muhtasari. Lakini mmeshuhudia ripoti niliyokabidhiwa na mavitabu yale yaliyoko pale. Hii ni ripoti ya Rais.
Aliyeunda tume ni...
"Pamoja na hayo, bado kuna mambo kadhaa ya kufanyiwa kazi katika mawanda ya siasa, ikiwemo suala la mabadiliko ya Katiba.
Kama mnavyofahamu, na kama nilivyoahidi, tumepanga kukamilisha mchakato...
Serikali imewataka wamiliki wote wa ardhi nchini wakiwemo watu binafsi na taasisi zinazomiliki ardhi kuhakikisha zinalipa kodi ya pango la ardhi kwa wakati, ili kuepusha usumbufu utakaotokana na...
Watanzania sasa hasa vijana na wazee wachache hawaeleweki kabisa.
Serikali hata ifanye jambo gani wao ni kukosoa tu
Serikali inaandaa fursa kwa vijana, vijana badala ya kuamka kuziendea wako busy...
Tume ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi (PDPC) imezitaka taasisi zote nchini kuhakikisha zinazingatia kikamilifu matakwa ya Sheria ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi, ikisisitiza kuwa kutokufuata sheria hiyo...
Leo asubuhi, nikiwa natokea Bunju, nimekuta askari wengi wakiwa wamejaa kwenye mataa ya Tegeta. Pia, kwenye Kona ya Masana walikuwepo kwa wingi wakiwa na silaha, na hata maeneo ya Mwenge...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.