Kila mtu hasa waandishi kama Salim kikeke maulid kitenge wanaisifia ripoti hata kabla haijatoka n kwamba wenzetu tayari wameiona
Ripoti inatolewa leo lakn WATU wanaisifia sijaelewa nn maana yake...
Kwa wale wanaoenda kumuona mama wa mtoto (especially mtoto wake wa kwanza), kama utahitaji idea ya zawadi me nnazo tatu hapa, za muhimu sana.
1. Nursing Pillow:
Huu ni mto wa kunyonyeshea...
Ni haramu sio haramu?
Uharamu wake unatokana na nini?
Je kuna mazingira haramu inaweza kuwa halali?
Je ndio nyama tamu zaidi duniani?
Je ndio nyama inayoliwa zaidi duniani?
Je ni kweli ndio...
Ni zaidi ya wiki mbili Sasa wakazi wa Utemini, Maendeleo, Relini na Maduka Matatu hatuna maji na hakuna taarifa yeyote kutoka MWAUWASA wanatutesa na bili zinakuja kawaida.
Katibu wa wizara ya...
Leo asubuhi, nikiwa natokea Bunju, nimekuta askari wengi wakiwa wamejaa kwenye mataa ya Tegeta. Pia, kwenye Kona ya Masana walikuwepo kwa wingi wakiwa na silaha, na hata maeneo ya Mwenge...
Halmashauri ya wilaya ya Kigamboni ni miongoni mwa halmashauri mzigo sana hapa nchini!
Walianzisha mradi chini ya TARURA wa kukarabati barabara ya kuelekea soko na stendi ya Kibada, wakafumua...
Jamaa alikuja akachukua chumba, akakitengeneza mpaka kikaonekana kuwa pale ni Mpesa, ameweka vigae,ndani amepaka rangi nyeupe,nje amepaka red, akamuita mchoraji, mchoraji amechora vizuri tu ila...
Hii milango ya katika vyoo vya umma huwa inashangaza sana, unakuwa unajisaidia huku mtu mwingine kutoka nje anaweza kukuona akitaka na kusikia kila kitu unachofanya
Hivi vyoo ukiwa na tumbo la...
Warumi 8:31
Basi, tuseme nini juu ya hayo? Mungu akiwapo upande wetu, ni nani aliye juu yetu?
Katika bibilia tunaona kwamba Mungu akiwa upande wako akuna kitu kitakacho kudhuru kwenye maisha...
Ni jambo la kusikitisha kuona kuwa mwezi mzima umepita tangu mauaji ya kikatili ya Mzee Ali Kibao, lakini mamlaka bado zimeendelea kuwa kimya kuhusu ripoti ya uchunguzi wa kifo chake.
Awali...
Mdau ametufata inbox na kutoa dukuduku lake kama ifuatavyo:-
"Tamthilia ya Kituruki Ottoman, ambayo inaoneshwa kupitia Az@m Media, imekuwa gumzo kubwa miongoni mwa watazamaji wengi nchini...
Wakati suala la ajira, kuboresha elimu, matumizi ya teknolojia vikitawala, vijana wametaka dira ya Taifa 2050 ipunguze umri wa watu kustaafu kwa lazima hadi kufikia miaka 55 kutoka 60.
Hayo...
Habari zenu wakuu.
Kutokana na kuongezeka kwa wimbi kubwa la wasomi na wahitimu wa vyuo vikuu...Suala la ajira kwa vijana linaonekana kuwa ni ndoto huku wale wallioajiriwa kuendelea kukaa ajirani...
Next level nini, ni kiwango ambacho Mungu anakuinua kutoka sehemu moja kwenda sehemu nyengine yenye ukubwa na mamlaka.
Je ni watu gani Mungu uwainua kuwapeleka next level ya maisha?
Wanaitwa...
Katika dunia ya sasa ya kidijitali, taarifa binafsi zimekuwa mali nyeti yenye thamani kubwa kuliko hata fedha. Hata hivyo, kwa vijana wengi wahitimu wa vyuo, hususan wanaotafuta ajira au...
Huyu kijana ni mpangaji tu ni mtu tunapiga nae sana stori maisha yake yanakimbia sana, nilipo mdadisi akadai kazi yake nikuunga watu MB, nikapata mashaka je hii inaweza kuwa kweli.
So kwa ubaya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.