Baraza kuu la Wafanyakazi wa Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es salaam (DAWASA) limekutana kujadili na kuweka mwelekeo wa vipaumbele vya Mamlaka kuelekea mwaka wa fedha 2026/2027...
Tangu kuundwa vyama vingi 1992 hakuna kipindi wapinzani walikuwa na nidhamu kwa serikali na Rais kama kipindi cha Magufuli.
Magufuli hakuwapa muda wa kupumua kabisa.
Rais Samia ulipoingia ulitaka...
Zaidi ya watoto 250 wenye matatizo ya vichwa vikubwa na mgongo wazi wanatarajiwa kupatiwa matibabu bure katika Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Ubongo Muhimbili (MOI) kutokana na fedha...
Kuamka saa 9 usiku (3 a.m.) si tatizo. Ni mabaki ya mfumo wa kale wa usingizi uliowahi kuwa wa kawaida kwa binadamu.
Kabla ya wazo la kisasa la kulala saa nane mfululizo, usiku wa binadamu...
Historia ya upashanaji habari ni ndefu sana. Sitaki nianzie mbali sana. Kutokana na kasi ya maendeleo ya kielimu na ukuaji wa teknolojia tumeshuhudia kupungua kasi ya usomaji magazeti mpaka...
Yesu Alipopanda Mlimani Kuomba kwa Nini Alitokewa na Musa na Eliya?
Katika ule mlima mrefu, aliopanda Yesu na wanafunzi wake kuomba, kwa nini atokewe na Musa na Eliya na siyo manabii wengine...
Heshima Mbele,
Nimekuwa nikifuatilia makala za Gazeti la Mwananchi kwa takribani wiki mbili katika internet na sioni makala za kasri mwanazuoni Mtaalam wa Lugha na Mwanadishi Mchambuzi Boniphace...
Wanafunzi vijana kutoka kote Cape Town, nchini Afrika Kusini, walileta nguvu na shauku kubwa katika sherehe ya utamaduni wa Kichina siku ya Jumamosi, wakati Taasisi ya Confucius katika Chuo Kikuu...
Hivi ushawahi kujiuliza kuhusu huu mfumo wa kwamba....Kwanza tunahitaji pesa ili kwenda chuo...kisha tunahitaji chuo ili kupata kazi.....kisha tuna hitaji kazi kwaajili ya kupata pesa.
Pesa →...
Mji mkuu wa Sudan, Khartoum, unakabiliwa na mgogoro mkubwa wa mafuta. Mamia ya magari yamepanga foleni katika vituo vichache vya mafuta vinavyofanya kazi, huku madereva wakisubiri chini ya jua...
Google imerekodi kila safari yako ya kwenda hospitali mwaka huu, na hata mizunguko yako ya usiku wa manane. Simu yako inatuma taarifa (updates) zako kila baada ya sekunde 96. Simu za Android...
Hosea 4:11
Uzinzi na divai na divai mpya huondoa fahamu za wanadamu.
Katika kifungu hichi cha bibilia, Mungu ana onya kuhusu uzinzi, kufanya tendo la ndoa na mtu ambaye sio sahihi kwako kunaweza...
Mnamo Aprili 2, 2015, mwendo wa saa 11:30 alajiri, Chuo Kikuu cha Garissa kilichoko Garissa, Kenya, kilikumbwa na ugaidi pale watu wanne wenye silaha waliojifunika nyuso zao kutoka kwa kundi la...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.