Habari wanajamvi!
Mimi ni mtumishi wa umma, huu ni mwaka wangu wa 27 kazini.Katika kipindi chote hicho nimekuwa nikifanya kazi kwa bidii na maarifa bila kujali mwajiri wangu hatimizi majukumu...
Kwa muda sasa sisi vijana wenye kuweza kuutumia vizuri bongo zetu tunajiuliza haya
1:je lile sanamu.la askari lilibuniwa na nani na je yule askari ni nani na linahistoria gani katika nchi hii au...
Toka mwezi huu umeanza kusema kweli ni majuto, vifurushi tunavyonunua kila siku mda unaisha vikiwa havijaweza kutumika kutokana na mitandao kuwa chini kupitiliza. Hatuelewi hasa ni nini hii lakini...
JIFUNZE KWA MBWA..
Mbwa amaenikumbusha kitu kikubwa sana katika tukio hili..
Gari ndogo nililokuwamo nikienda kwenye pilika za maisha ilikuwa speed kama80/90 hivi....
Ghalfa tukamwona Mbwa...
Habari za jioni Jf........
Asilimia kubwa sana ya walimu nguo tunazovaa kwakweli kuna muda ukikaa kumtizama mtu unacheka kimoyo moyo, mwalimu wa kike unakuta kavaa gauni panaaa linaishia katikati...
Leo hii mnajifanya ninyi ndo Wataalamu wa vijimisemo, Biblia mnaijua nyie, Kurani mnaijua nyie, mpaka mnampangia Mungu amuadhibu nani na ambariki yupi, acheni unafiki, huyo Mungu mwenyewe mmejua...
Habari zenu wana JamiiForums,
Leo naomba nisaidiwe historia za hawa jamaa wanaitwa COWBOYS.
Kiufupi maisha yao yanavutia sana yaani wako bize muda wote na inaonyesha wanaishi maisha mazuri sana...
Habari wakuu?
Mimi si mtu wa kutoka sana viwanja, wiki iliyopita nilifanikiwa kutembea kwenye kumbi fulani za starehe (night club), nikaingia V.I.P lounge, wakati wa kuingia huko nikasachiwa na...
Hii ni kweli ndugu zangu wenye utaratibu wa kula kwa hawa mama zetu au Dada zetu, sehemu nyingine humilikiwa na na watu wenye jinsi ya kiume.
Kuna baadhi wanaomiliki haya maeneo au vibanda ni...
Je wakuu hiki kitu tayari kinshaanza kutumika? Xmass tuvute mkwanja
Mpendwa mteja, SimBanking Salary Advance ni mkopo kwa waajiriwa wanaopokea mshahara kupitia Benki ya CRDB na wamejiunga na...
Habari ya usiku wana jf wenzangu! Kwa heshima na taadhima napend kujua mawili matatu kuhusiana na friji kwan hapa na kabejeti kidogo naitaji nikajichukulie friji jipya dukani napenda kufahamu ni...
Tanapa wametangaza nafasi za kazi na kuwataka wenye vigezo waombe kupitia mtandao wao maalum, lakini hiyo system yao inamapungufu mengi eiza ya kiufundi au makusudi ili iwe kigezo cha watu Fulani...
Palestine nimatokeo ya Vita iyopigana kati ya 132 -135 AD ..ambapo majeshi ya ufalme Wa Rumi waliwapiga Majeshi ya Uyahudi yalokua yanaongozwa na Shimon Bar kokhba ( hawa wayaudi walianzisha...
Hello JF,
Nimewaza nikaona labda kuundwe chama kipya cha upinzani,
New party,new faces,
Waangalie sehemu ambapo upinzani ilifanya vizuri,chaguzi zilizopita.
Then watumie the same strategies...