upupu
JF-Expert Member
- Apr 15, 2008
- 614
- 198
Habari wakuu?
Mimi si mtu wa kutoka sana viwanja, wiki iliyopita nilifanikiwa kutembea kwenye kumbi fulani za starehe (night club), nikaingia V.I.P lounge, wakati wa kuingia huko nikasachiwa na walinzi wakachukua simu zangu zote na vifaa vyote vya kieletronic.
Sikujua kwanini, ila kuzama ndani, niliyoyakuta ni kama hadithi, yale niliyoona kwenye cinema leo nimeyakuta live; strippers live live, bikini na sidiria tu, wanakatikia wateja wachache waliopo VIP, anakuja ulipokaa anakuchezea, unampa hela, wengine wanamuingizia hela sehemu za siri, nilishangaa, mida ilivyoenda zaidi, wakavua nguo zote na kubaki kama uch* kabisa, majamaa wanawaita, wanawapapasa sehemu zao, wanawapangusia hela, na kuwatunza, hii ikanifanya niconclude kuwa hizi noti tunazotumia ni chafu mno, usidiriki kuitia mdomoni, au kulamba kidole wakati wa kuhesabu, ni CHAFU sana hazifai.