Nimeangalia taarifa ya ITV Leo walifanya coverage ya upande mmoja. Walitoa matukio ya ibada yaliyomsifu na kumbeba Magufuli tu bila kutoa ya upande wa pili.
Mfano wa taarifa ya ibada Zanzibar...
Nina jamaa yangu niliemaliza nae chuo 2010 chuo flani sipendi kukitaja, tulipotezana muda mrefu hivi juzi juzi tumeunganishwa na group ls WhatsApp.
Sasa Leo naomba kuonana na mimi nimemfuata...
Habari wakuu,
Naomba wasaidizi wa IGP waambiwe kuwa siku hizi police wake wa Morogoro wameanzisha utaratibu mpya, baa hazifungwi tena saa sita.
Wanachofanya ni kupita na kuomba bia wakishapewa...
Chuo Kikuu cha Dar es Salaam sehemu ya Mlimani imezuia watu wasiokuwa wanafunzi na wafanyakazi wa chuo hicho kutumia Viwanja vyake kufanyia mazoezi,
Kumekuwa na idadi kubwa ya watu wanaoishi...
Huwa natamani kujua kama waliosoma hii shule ya kilimo ya kilosa (kizunguzi) kama huwa wapo humu angalau tukumbushane ya enzi hizo, jinsi tulivyokuwa tunalima miraba mpaka basi, na graduation...
Hapo vip!!
Jamani usiku huu nimeota ndoto moja ambayo imenitisha sana na mara baada ya kuamka nimejiskia vibaya sana.
Nimeota gafla nipo sehemu kuna viti flani hivi lakini imetengenezwa kwa...
Hawa jamaa hakika nawachukia sana,mimi ni kati ya wateja niliekuwa natumia mtandao huo wa tigo.kifupi sijawahi kukopa salio wala kuwa na dhamira hiyo.lakini mara kadhaa kila niwekapo salio la...
Wabunge wa DRC wote kwa pamoja wamelaani kitendo cha kuchomwa kwa nyumba ya Rais Joseph Kabila. Wasema kitendo hicho ni uhalifu na sio njia sahihi ya kushinikiza jambo
Taarifa ya kushambuliwa kwa...
Nilijua Leo ungeingia mshahara wa mwezi Disemba Kama ilivyokuwa last year ila Naona kimya duh . Anyway Ngoja nisubiri tu Maana chuma kinakaribia kukatika .
Habari waungwana wa JF
Nianze kwa kidokezo hiki;
"Nautabiri mwisho wa rafiki,
Kama ndivyo naomba maulana,
Usimtende hivyo"
Hiki kilikuwa kipande cha mashairi kwenye nyimbo ya mshiriki mmoja wa...
Kwa wanafunzi wote waliopita na kusoma Shule ya Msingi Mlimani(Ndani ya Chuo Kikuu),Manispaa ya Kinondoni,kata ya Ubungo,mtaa wa Chuo Kikuu-Dsm.
Huu ni muonekano mpya wa shule ya msingi...
Naomba mnijuze waislam.
naona kama Waislam hawawezi Aman iwe nanyi
kuishi na dini nyingine vile mana kila kona vurugu.
Afrika ya kati: wakristo na waislam.
Jerusalem: wayahud wakrito na...
Huyu ndo Baby Jesus aliyesherekewa jana na mabilioni ya wakristo.
This is Blesphemes: Kwanini unamwabudu Yesu ambaye kila mwaka anakuwa mtoto?, Yesu anayebebwa na mwanadamu leo? na si yule Yesu...
Haya mambo yatakufanya ugundue pamoja na mwaka kuwa unaisha ila kinachobadilika ni tarehe tu na kuongeza siku zako za kuzeeka. Hebu fikiri.
1. Jamaa yako uliyekuwa unamdai pesa akakwambia atakupa...
Wakuu asubuhi nina dada yangu yuko Tanga Korogwe amepatwa na mshtuko baada ya kukuta hivi vikorokoro nje ya ofisi yake mpaka kwa kweli ameshindwa kuvitambua, amenitumia nimsaidie kuvitambua...
Habarini Wadau,
Juzi tarehe 24 nilisikia maneno kutoka kwa waumini kadhaa wa kanisa la Ufufuo na Uzima lililopo chini ya Askofu Gwajima, ambapo muumini mmoja alibainisha wazi kuwa:
Askofu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.