Aliomba tumwombee, sala zimejibiwa hawataki kukubaliana nazo.

DR. MWAKABANJE

JF-Expert Member
Nov 7, 2012
1,976
3,122
Kwani uliposema tukuombee au mliposema tumwombee mlitarajia majibu gani kwa maombi yetu?? Mbona majibu ya sala zetu mnayakataa enyi kizazi cha nyoka?

Je ni sahihi kwa mgonjwa kuomba dakatari ampime tatizo lake na majibu ya kidaktari kuyakataa??

Mungu ana njia zake za kupokea maombi ya waja wake na kuyajibu kwa namna anayoona inafaa na tena majibu yake hayachelewi wala hayawahi, amekuwa akiomba sana tumuombee kwa Mungu wa mbinguni, na wafuasi wake mmekuwa mkisisitiza hilo, leo majibu ya sala zetu yamejibiwa kupitia kwa baadhi ya watumishi wake kuwa anatakiwa "aungame" mmetugeuka mmekuwa na shingo ngumu huku mkishusha matusi kwa viongozi hao kama mvua ya gharika ya Nuhu.

Hayo ndo majibu ya sala zetu mlizoomba kama hamtaki kuyapokea na kuyafanyia kazi subiri adhabu ya kiburi chenu, labda kama kuna mungu mwingine ndo mlimlenga kwake tumwombee lakini kama ni huyu wa Mbinguni yawapasa muwe wapole huku mkinyenyekea mbele zake mkimpeleka mtu wetu akatubu.
 
Hahaha! Labda wao walikuwa na majibu yao......wawe wapole kwa kweli msema kweli ni mpnz wa Mungu
c6d9d2b530d5e53e41f445780e269d55.jpg
 
Kwani uliposema tukuombee au mliposema tumwombee mlitarajia majibu gani kwa maombi yetu?? Mbona majibu ya sala zetu mnayakataa enyi kizazi cha nyoka?

Je ni sahihi kwa mgonjwa kuomba dakatari ampime tatizo lake na majibu ya kidaktari kuyakataa??

Mungu ana njia zake za kupokea maombi ya waja wake na kuyajibu kwa namna anayoona inafaa na tena majibu yake hayachelewi wala hayawahi, amekuwa akiomba sana tumuombee kwa Mungu wa mbinguni, na wafuasi wake mmekuwa mkisisitiza hilo, leo majibu ya sala zetu yamejibiwa kupitia kwa baadhi ya watumishi wake kuwa anatakiwa "aungame" mmetugeuka mmekuwa na shingo ngumu huku mkishusha matusi kwa viongozi hao kama mvua ya gharika ya Nuhu.

Hayo ndo majibu ya sala zetu mlizoomba kama hamtaki kuyapokea na kuyafanyia kazi subiri adhabu ya kiburi chenu, labda kama kuna mungu mwingine ndo mlimlenga kwake tumwombee lakini kama ni huyu wa Mbinguni yawapasa muwe wapole huku mkinyenyekea mbele zake mkimpeleka mtu wetu akatubu.
Huyo huyo awaambiaye wenzie watubu .... je yeye yuko kamili ... je naye haitaji KUTUBU?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom