Kinga kingdom
JF-Expert Member
- Jan 11, 2017
- 769
- 847
JIFUNZE KWA MBWA..
Mbwa amaenikumbusha kitu kikubwa sana katika tukio hili..
Gari ndogo nililokuwamo nikienda kwenye pilika za maisha ilikuwa speed kama80/90 hivi....
Ghalfa tukamwona Mbwa akijitahidi kushindana na speed ya gari kuvuka barabara....
Sikutamani kabisa kuona akigongwa..na moyoni nikawa natamani ajitahidi kuongeza mwendo..
Gari likiwa limekaribia kabisa ....
Nikaona mbwa ameongeza mwendo ghafla na kufanikiwa kuvuka....pumzi ikanishuka.
Lakini kuna kitu tulikiona kimedondoka kabla mbwa hajaweza kuongeza mwendo....
Nikamwomba dereva turudi nyuma kidogo..
Nilipoona kitu mbwa alichodondosha...Nikajifunza somo kubwa sana..
MBWA alidondosha
Mfupa wa nyama
FUNZO.....Ilifika mahali mbwa aliona bora aache mfupa apate speed aokoe maisha!!!!!
Hii ni akili kubwa sana
ACHA MFUPA
KUNA MIFUPA TUMEING'ANG'ANIA 2017
TUKIFANIKIWA KUWAJASIRI WA KUACHIA MIFUPA TULOING`ANG`AN
IA ....MWAKA 2018 TUTAKUWA WA KUJISHANGAZA
KUNA MIFUPA YA KILA AINA TUMEING`ANG`NIA 2017
NA HAKIKA IMETUKWAMISHA MNOO
HEBU TUFANYE MAAMUZI MAGUMU..
TUSIVUKE 2017 NA MIFUPA YETU.
TUIDONDOSHE HARAKA SANA
KUTOPENDA KUJIFUNZA MAMBO MAPYA
_KUTUMIA MBINU ZILE ZILE ZINAZOSHINDWA NAO NI MFUPA.._
_KUDHANI KWAMBA HELA PEKE YAKE INAWEZA KUKULETEA FURAHA..HUU MFUPA MGUMU SANA_
_KUTOKUJIFUNZA KUTOKANA NA MAKOSA NI MFUPA_
_KUFURAHIA KUONA WENZETU WANASHINDWA WAKATI TUNGEWEZA WASAIDIA WAKAFANIKIWA NI MFUPA_
HII NI BAADHI TU YA MIFUPA TULIYO BEBA.
TUDONDOSHE MFUPA. ILI 2018 UKAWE MWAKA WA MAFANIKIO KWA KILA MMOJA WETU
MUAMBIE JIRANI YAKO DONDOSHA MFUPA INAKUCHELEWESHA.