Quinton Canosa
JF-Expert Member
- Nov 2, 2012
- 1,228
- 1,264
Habari zenu wana JamiiForums,
Leo naomba nisaidiwe historia za hawa jamaa wanaitwa COWBOYS.
Kiufupi maisha yao yanavutia sana yaani wako bize muda wote na inaonyesha wanaishi maisha mazuri sana na wengi wao hawaishi mijini maana tukiangalia movies nyingi tunawaona kwenye ranchi kubwa kuko wanakula maisha halafu hawataki disturbance na mtu yeyote na kitu kinachonivutia uvaaji wao yaani
full jeans au shati za drafti,kichwani wametupia panama hut.Kiunoni wengi wao wana revolver au mkononi wanapenda kushika shortgun.Miguuni wametupia travolta kali na ukiangalia ni watu wenye mwili mkubwa.
Hivi huu utamaduni wao upo sehemu moja tu duniani maana nikiwacheki wengi ni raia wa Marekani hasa Texas na Dalas,sasa sijajua COWBOYS wanapatikana sehemu zingine duniani au ni Marekani pekee na kama Marekani pekee kwanini.
Nawapenda sana hawa wanaume wa shoka hata kwa kuwaangalia tu.