CRDB Salary advance ulizo imeshaanza kutumika?

CRDB Salary advance ulizo imeshaanza kutumika?

AKASINOZO

JF-Expert Member
Joined
Aug 22, 2016
Posts
1,367
Reaction score
2,219
Je wakuu hiki kitu tayari kinshaanza kutumika? Xmass tuvute mkwanja

Mpendwa mteja, SimBanking Salary Advance ni mkopo kwa waajiriwa wanaopokea mshahara kupitia Benki ya CRDB na wamejiunga na huduma ya SimBanking. Kupata mkopo huu piga *150*03# kisha chagua namba 6 "Salary Advance"

Kutoka benki
nawasilisha
 
kama una SIM BANKING umeshaanza, hawawezi kutangaza kitu bila kuwa tayari
 
Je wakuu hiki kitu tayari kinshaanza kutumika? Xmass tuvute mkwanja

Mpendwa mteja, SimBanking Salary Advance ni mkopo kwa waajiriwa wanaopokea mshahara kupitia Benki ya CRDB na wamejiunga na huduma ya SimBanking. Kupata mkopo huu piga *150*03# kisha chagua namba 6 "Salary Advance"

Kutoka benki
nawasilisha
Vitu vingine kuuliza ni kuleta kichefuchefu tu.
We kwanini usiingie kwenye menu uangalie? Au umesikia leo?

Tangu sijui mwezi wa ngapi huko watu wanakopa.
Acha uvivu mkuu
 
Hayo maelekezo nayapata kwa njia ya simu au hadi niende branch husika Mkuu,

Nilitaka kujua,Maximum ya mkopo? Muda wa Marejesho, Interest Rate N.k

So hadi niwaone Customers Care ama?
Unapata hadi asilimia 50% ya net pay yako....malipo ni ndan ya mwez mmoja. Riba asilimia 5.

Hili jibu linatokna na jinsi nilivoanza kutumia hii product. Mchaga kajaribu kupaka grisi.
 
Back
Top Bottom