Escobar
JF-Expert Member
- Sep 16, 2011
- 574
- 444
Najua waliopiga kura (Wabunge) wamezingatia vitu vingi sana kumchagua mgombea yeyote aliyeshinda, huyu mama ameshinda kwa kura nyingi sana so am interested to know her in details hivyo kama kuna mwenye kumfahamu naomba nami nijue ueledi wa mwakilishi wetu huyu anayeenda kupambana na kina Professor Wanjiru wanotaka ardhi yetu kuliko kitu kingine katika jumuia hii! Naomba kuwasilisha