NB: Nina Akili Ndogo Sana.
I'm just asking out of curiosity, kwanini hakuna madiwani wa kuteuliwa na Rais/Makamu wa Rais/Waziri mkuu/mkuu wa mkoa??
Tunaona wabunge wa kuteuliwa ila madiwani wa...
Kama hawajapotea na wataenda mbinguni kulikuwa na haja gani ya Yesu Kristo kuja kufa kwa ajili ya dhambi za binadamu na Muhammad kuja na Quran yake ?
Maisha si yangeweza kuendelea tu kama kawaida...
Madereva wa Dar es salaam kufungiwa leseni . Hizi sheria ziop lakini huwa hawafuati.
1. Dereva wa Hizi Eicheza za Gongo la Mboto- Masaki, Kawe- Tegeta na Gerezani, wao muda wote wanapiga honi kali...
Haijawahi kutokea "mamlaka " ikasema chanzo cha ajali ni miundombinu ya barabara kuwa mibovu.
Mitaani na barabara kuu, TANROAD wanapata hela kutoka mafuta tunayoweka kwenye magari, yet hawazibi...
Nashangaa tunashindwa sana kumtrace mtu alipo mpaka kuwaita unaowahisi uwatese kujua fulani ni nani?
Mifumo ya kisayansi na teknolojia haijatumiwa vema na Majeshi yetu,
Hii ni ama walio na...
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Deogratius Ndejembi akizungumza na Viongozi wa Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira), Ofisi ya Waziri Mkuu – TAMISEMI, Wizara ya Ujenzi...
Huu utaratibu kuwekewa uchafu mlangoni kwenye makazi yetu wakati mtambo wa kusafisha Mto Ng'ombe hapa Dar sio salama kwetu kwa kuwa uchafu wote unakuja kwenye makazi yetu na kutuweka katika hali...
Kuna mambo yakitokea duniani basi moja kwa moja fahamu kuwa upo ndani ya bara la Afrika na kuna upuuzi ukitokea Afrika basi fahamu tu upo Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Nadhani mahakama za...
Mimi ni mkazi wa Wilaya ya Kahama, Mkoa wa Shinyanga. Ni takribani siku tano sasa hakuna huduma ya maji, hasa katika Mtaa wa Majengo, Kahama, ambako kuna idadi kubwa ya wakazi.
Licha ya kuwepo...
1. Maendeleo kutoka kwenye kodi zetu - Picha linaanza mradi na pesa vyote kwa pamoja vinaonekana ni vya kiongozi, utasikia kiongozi akijitapa eti ni yeye anatoa pesa, atajisifu ni mradi wake...
Habari zenu wakuu….
Mtu anapohisi au kuamini amerogwa kimapenzi mara nyingi huwa na hisia na dalili za kisaikolojia kama zifuatazo:
1. Kupoteza Udhibiti wa Maamuzi: Kuhisi kama huna kauli...
✍️ OMEGA BOOK WRITING SERVICES
Una idea ya kitabu, notes, au teaching materials lakini hujui namna ya kuibadilisha kuwa kitabu kilichoandaliwa kitaalamu?
Tunatoa huduma zifuatazo:
✅ Book...
Mchekeshaji Wima, Neila Manga amerekodi video fupi akilia na kulalamika kadhia aliyokumbana nayo akiwa barabarani baada ya kusimashwa na Askari wa Usalama Barabarani Traffic akidai alimuomba namba...
Kitambulisho Changu cha Taifa (NIDA) kilifutika namba Januari 2026, nilikirudisha Ofisi za NIDA Wilaya ya Kishapu (Shinyanga) ili kufanyiwa marekebisho, tangu mwezi wa kwanza hadi leo Septemba...
Kuna siku dunia itaendelea kusonga mbele bila uwepo wako.
Watu wataamka, jua litachomoza, barabara zitaendelea kuwa na pilikapilika, biashara zitaendelea, mazungumzo yataendelea—na maisha...
Kama hii kesi Lisu atashinda na kuonekana hana hatia yoyote
Basi serikali itaenda kufilisiwa vibaya sana.
Kwa makadirio sio chini ya bilioni 50 kama Lisu hatokutwa na hatia yoyote
Hivyo Lisu...
Mikakati ya makusudi ya kukuza utalii wa mikutano (MICE) ndani ya Jiji la Arusha imeanza kuzaa matunda, huku makundi mbalimbali ya kijamii yakishuhudia manufaa makubwa ya kiuchumi kuanzia ngazi ya...
HAkuna utofauti wa sisi na ecosytem ya mbugani
Ni basi tu Sisi ni wanyama tulio vaa nguo.
Mjini na vijijini hakuna tofauti na mbugani.
Bila ya ku-evolve kuwa kama fisi, utalika kikatili kama...