Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Habari wadau? Nahitaji msaada mkubwa sana juu ya suala hili la laini za uwakala. Nilijaribu kuuliza maswali kama mawili miezi ya nyuma kuhusiana na ujasiliamali but i gatta nothing. 1. Okay...
1 Reactions
11 Replies
13K Views
Waungwana, Mwenye kujua vituo ambavyo treni ya mwendokasi (SGR) Dar to Moro atujuze. Pia vituo vya Moro to Makutupora.
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Picha ya Marehemu enzi za uhai wake Simanzi na majonzi vimetawala kwa Watanzania waishio nchi China baada ya kuondokewa na Mtanzania mwenzao ndugu HAMIS RUHABAYE. Hamis ambae alikuwa...
2 Reactions
43 Replies
7K Views
*UKWELI KUHUSU TANZANIA* 1.Tz ilipata uhuru mwaka 1961 ina miaka 54 tangu ipate uhuru ikiwa ni ya kwanza Afrika Mashariki. 2.Tz Kwa miaka 38 imeongozwa na CCM peke yake ambayo ni zao la TANU na...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Wakuu msiniulize takwimu, ila ki ukweli na wengi wenu mliojaaliwa kusafiri safiri kama mimi mtakubaliana na mimi kwamba, Wakenya wanajivunia sana Kiswahili sana kuliko sisi waTZ tena hawaoni soni...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
SENGEREMA: Tani sita za shehena ya samaki wachanga na wazazi aina ya sangara yenye thamani ya Sh24 milioni imekamatwa juzi katika Kijiji cha Kawekamo, Kata ya Nyampande wilayani hapa mkoani...
0 Reactions
0 Replies
636 Views
Kwakweli hili suala linatia ukakasi mkubwa sana, hii ni aibu kubwa kwa taifa, sasa lazima tuamini kwamba serikali yetu haina nia njema kabisa na kulibadili taifa hili, huu sio uungwana hata...
2 Reactions
4 Replies
3K Views
Kutokana na hali inayo endelea hapa Dar es Salaam ya watu kukamatwa kutokana na mavazi walio vaa napendekeza yafuatayo. >Serikali itoe mwongozo wa mavazi yanayopaswa kuvaliwa na raia ili kuepuka...
1 Reactions
27 Replies
6K Views
Habari za leo wakuu. Nauliza GT mnisaidie kujibu swali hili. Kwanini mtu anapokufa (fariki) watu hukusanyika kwa ajili ya maandalizi ya kuuzika mwili, lakini kuna wakati inatokea mtu tuliyeaamini...
0 Reactions
0 Replies
724 Views
Hivi karibuni nimesafiri na kwenda nje ya nyumbani kwangu kwa mda mfupi, baada ya kufika hapa mwenyeji akawa busy na mimi ni mgeni kabisa. Nikaona isiwe shida ngoja niende inbox nitafute wenyeji...
3 Reactions
19 Replies
2K Views
Najaribu kutafakari tu hivi watu 100 na zaidi wa humu JF haiwezekani kufanya Jambo la pamoja ambalo Linaweza kutuinua na kufikia LEVEL ya Bakhresa, Rostam au MO. Humu tuna wataalamu wa Kilimo...
2 Reactions
14 Replies
1K Views
Plastic bags are containers made up high density polyethylene. Most of us we are familiar with these bags because we use them to carry goods purchased in the shops. In Tanzania plastic bags are...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Chanzo BBCSwahili. Wawili hao watazawadiwa $5,000 kila mmoja katika sherehe ambayo itafanyika jijini Nairobi mwezi ujao. Dotto Rangimoto alishinda kwenye kitengo cha ushairi kwa mswada wake...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
1: Polisi kukamata wenye UKIMWI – Ugiriki Nchini Ugiriki Polisi wanaruhusiwa kumkamata Mtu yeyote anayeshukiwa kuwa na HIV… Polisi pia wanaruhusiwa kulazimisha watu kupima HIV, kutangaza majina...
2 Reactions
11 Replies
2K Views
Unaspend milioni 5-30 mkwenye harusi. Unaspend tena million kadhaa kwenye pete ya ndoa Alafu mpaka sasa mwaka 2018 ndoa kwisha, mmeachana. Harusi ilikaa usiku mmoja. Pete ya harusi sasa haina...
1 Reactions
37 Replies
4K Views
Hii n kama hatari au janga. Ona hapa:- 1. NHIF 5 % 2. PSPF 10% 3. Bodi ya mikopo 15% 4. Kodi 9% Jumla kuu = 39 % Hiyo ni nje ya wale waliokopa benki. Mfano: Mtumishi wa serikali mwenye...
22 Reactions
130 Replies
22K Views
Wana jf eti kuna mtu Mwafrika alimuona huyu mjusi akashangaa sana, hivi ni sehem zipi hapa nchini kwetu mtu ataishi na asiyaone haya mijusi, wadudu, nzi, mbu na yeye aende akashangae wadudu huko...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Idara ya uhamiaji na waziri husika mtuonee huruma hasa sisi madereva wa maroli ya kwenda nje ya nchi,tumekimbia makambako tukaona nafuu iko hapa kupata hz paspoti za mda lkn sasa nanyi...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Msaada jamani hiyo viza sijui wanaandika hivyo bwana wee nisaidieni au passport ndio viza kwa kiswahili?
0 Reactions
7 Replies
4K Views
Zanzibar. Serikali ya Mapinduzi Zanzibar imewafukuza kazi walimu 28 baada ya kugundulika kufanya ubadhirifu wa zaidi ya Sh100.4 milioni. Akizungumza na waandishi wa habari Ikulu Mjini Zanzibar...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Back
Top Bottom