Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Salama JF, Ninaandika uzi huu nikiwa na masikitiko kwa ndugu zetu waliokosa maarifa na kuzidi kuangamizwa na haya mashetani. Watumishi hawa wamekuwa matapeli kiasi cha kusababisha umaskini kwa...
2 Reactions
37 Replies
6K Views
IDADI kubwa ya watoto wachanga waliozaliwa kabla ya muda (njiti) wanahofiwa kufariki dunia katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili (MNH) baada ya kukosa hewa ya oksijeni. Hewa hiyo ilikuwa...
7 Reactions
100 Replies
8K Views
Leo clouds naona mmeamua kutuletea vuvuzela la CCM kuja kutuchekesha asubuhi hii huyo mh Msukuma mbunge wa Geita ambaye anajiita msemaji wa CCM na kuna tetesi jamaa kalipia kipindi ili ahojiwe...
1 Reactions
39 Replies
4K Views
Kila jamii ina maadili yake....yapi hasa ni maadili ya kitanzania?
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Mahitaji ya Wizara ya Elimu ni shilingi trilioni 1.3, sawa na shilingi bilioni 1300 kusimamia elimu nchini kwa mwaka. Hii ni sawa na shilingi bilioni 108 kila mwezi. Leo JPM kasema anatoa...
1 Reactions
2 Replies
666 Views
Hello wapendwa, Nina swali hapa nahitaji kujua kutoka kwenu, ni kuhusu wachawi na trick, ujanja wanaoutumia hadi kumfanya mtu alale usingizi mzito yaani fofofo! Naombeni msaada wetu wataalamu...
1 Reactions
90 Replies
20K Views
Wakuu habari za muda huu, Nimekaa na kutafakari yanayonisibu kwa kweli maisha ni magumu na yana stress sana kwangu mimi mfanyakazi ni hivi, je mwingine asiye na kazi wala dili za maana? -Mwaka...
1 Reactions
64 Replies
6K Views
Bado kuna vyuo vikuu vinasumbua hapa nchini, Nasikia kule Moshi kuna hiki chuo cha Mwenge hakijawapa wanafunzi pesa ya kujikimu leo siku ya kumi. Hii taarifa ni kweli? Kama kuna ukweli ulizeni...
0 Reactions
0 Replies
759 Views
Zanzibar. Serikali ya Mapinduzi Zanzibar imewafukuza kazi walimu 28 baada ya kugundulika kufanya ubadhirifu wa zaidi ya Sh100.4 milioni. Akizungumza na waandishi wa habari Ikulu Mjini Zanzibar...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Baada ya kuangalia clip hii, nimejiskia uvivu sana kuenda kibaruani. Chukua dakika kadhaa kumsikiliza kisha tujadili.
5 Reactions
113 Replies
11K Views
Wanajamvi heshima kwenu, naombeni msaada wa mahali ninapoweza kupata mkopo usiohitaji zamana(security)tafazalini sana maana maji yanazidi unga ndugu zanguni
0 Reactions
4 Replies
55K Views
jamani naomba mnishawish uzuri na faida ya hiyo lotion .chitaji kujichubua please
0 Reactions
49 Replies
25K Views
Ni ajabu Waafrika pia tunalalamika mara Trump yuko sawa, mara sijui tuko hivi, sasa mnamlalamikia nani? Mimi nafikiri moja kati ya mambo ambayo Mzungu alifanikiwa kwetu ni kutuondolea kujiamini...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Habari za leo wakuu, Maisha yana changamoto nyingi sana,zingine zinaweza kukutoa kabisa kwenye hari uliyo nayo,au kwenye kitu ambacho ulikuwa umekusudia kukifanya. Si rahisi sana kumwambia mtu...
8 Reactions
31 Replies
2K Views
Watu wawili akiwemo Mkurugenzi wa Meli ya Lucky Shipping, Issa Haji (39) wamepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu wakikabiliwa na makosa ya uhujumu uchumi wa kupeperusha...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Habari zenu wakuu. Leo nimepita kituo cha mabasi cha Mbezi Louis almaarufu Mbezi Mwisho. Kama picha zinavyoonyesha, kati kati ya sehemu ya juu na ile ya chini (zinapopaki gari za Gongo la Mboto)...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
1. Ukija kijiweni au pub au kwenye nyama choma acha zile stori za sijui umesoma wapi hadi wapi, sijui una madigirii mangapi. Piga stori nyingine, mbona ziko nyingi tu. Kujielezea sana shule yako...
1 Reactions
10 Replies
1K Views
Abiria wanaotumia barabara kuu itokayo Ruvuma- Masasi kuelekea Mtwara na mikoa ya Lindi na Dar es Salaam hii leo wamejikuta wakinyeshewa na mvua pamoja na kushindwa kuendelea na safari zao...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Habari zenu waungwana,leo nilikuwa nakatiza mitaa ile ya kituo cha polisi urafiki,sasa wakati wa kupita nikaona pikipiki nyingi zimepangwa nje ya kituo,sasa nauliza kwa wenye kujua je pikipiki...
0 Reactions
8 Replies
4K Views
Abiria wanaotumia barabara kuu itokayo Ruvuma- Masasi kuelekea Mtwara na mikoa ya Lindi na Dar es Salaam hii leo wamejikuta wakinyeshewa na mvua pamoja na kushindwa kuendelea na safari zao...
0 Reactions
1 Replies
4K Views
Back
Top Bottom