Unaspend milioni 5-30 mkwenye harusi.
Unaspend tena million kadhaa kwenye pete ya ndoa
Alafu mpaka sasa mwaka 2018 ndoa kwisha, mmeachana.
Harusi ilikaa usiku mmoja. Pete ya harusi sasa haina thamani.
Nimeona niseme hivi maana kasi ya ndoa kuvunjika ni kubwa sana zaidi ya 20%, watu mnaspendi pesa nyingi sana kwenye harusi na ndoa. Najua mwingine anaweza kusema hujui unachozungumza, subiria wakati wako ufike.
Lakini kama mlikuwa hamna uhakika mtadumu, kwanini uhangaike kufunga ndoa na kufanya harusi. I does not add up, no sense at all??!! Lakini kwanini uhangaike kote huko alafu mwisho wa siku kila mtu achukue hamsini zake si bora mngebaki vile vile ki uwizi uwizi kuliko kuwa na historia kuwa ulioa/kuolewa ukaachika/ndoa kuvunjika? WANANDOA MLIOPATWA NA MIKASA EMBU TUSAIDIENI HAPA.
Ni mtazamo tu!