Wakati ukarabati wa Dimba la Benjamin Mkapa ukiendelea jijini Dar es Salaam kwa ajili ya maandalizi ya AFCON 2027, baadhi ya mafundi wanaofanya kazi hiyo wamefukua vitu vya ajabu vinavyodhaniwa...
Mbunge wa Jimbo la Tunduru Kaskazini Ado Shaibu amependekeza kuwepo na kambi ya upinzani licha ya kuonekana kuna wabunge wa chache wa vyama vya upinzani akidai kukosa kambi ya upinzani bungeni...
Tuachane na mataa.
Me nashauri, May Mosi hii Rais badala ya kuongeza mishahara apunguze makato kwenye basic salary na kupunguza kodi kwenye baadhi ya bidhaa, ipunguze ugumu wa maisha.
Viunga gani vya jiji letu la Dar es Salaam unavisikia tu ila haujawahi kufika?
Naanza: nimeishi Dar sijawahi kufika ila nimeshapasikia:
Chanika
Chamazi
Makongo juu
Kivule
Kiwalani
Yombo vituka...
Msanii wa Bongo Fleva, Selemani Mvamba maarufu kama Spack, amefariki dunia leo Aprili 27, 2026 nyumbani kwake Chanika jijini Dar es Salaam.
Spack alijipatia umaarufu mkubwa kupitia kundi la Tip...
Kutokana na safari yangu ambayo ni wiki mbili zijazo sitaki kwenda mwenyewe nataka nipate mwanadada wa hapa JF ikipendeza awe Mod kama yupo
Kwa hiyo wanadada wa huku kama hujawahi au unataka...
Katika pitapita feeds za Facebook nilikuta a na ili group: [MABAHARIA(sailors)SOUTH AFRICA. Sijakosea kuandika, linaitwa ivo ivo, lina member kama Elfu 50+ na liko Active kinoma.
Katika kusoma...
Nipo maeneo fulani hivi nimepumzika room baada ya safari ndefu. Sasa hii sehemu nje kidogo kuna ka-pub. Kuna wazee wa makamo walikua wamepaki ndinga wanakula gambe na kuwanunulia wengine.
Kabla...
Najua mida hii watu wanaenda kwenye Mihangaiko na wengine pia wanaenda kwenye majukumu yao ya kila siku, bila kusahau ambao ndo wanatoka kwenye mihangaiko yao ya shift za usiku.
Mihangaiko ni...
Aise, kwema wadauh? Leo nimecheka sana mwanangu mmoja alikopa elfu 40,000 wakampa 24,000/= badala ya 40,000 aise nilishangaa jamaa akala kiapo cha kutokulipa deni hilo, sasa hizo simu kutoka kwa...
Naam ni yule mtoto wa chekechea,,ambaye mama yake alimuombea kwa mwalimu ili aweze kwenda Hospitali,
Bakhti mbaya yule mama alifariki na kwao hakujulikani.
Huyu mama alizaa na yule bwashee...
Hawa Wambulu wa Tanzania si ni ndugu moja na wa Ethiopia? Kwanini wao hawawezi kukimbia kama wenzao wa Ethiopia watutoe kimasomaso na sisi Tanzania kama taifa kimataifa?!
Tanzania inabidi...
Nilifikiri ni mimi tu napata shida kuwaelewa wahindi na kingereza chao lakini kumbe sio mimi tu.
Kwenye mkutano wa Rais Trump na Waziri mkuu wa India, Trump amelazimika kutumia wakalimani...
Sisi ni Wananchi wa Kijiji cha Mitatuni, Jimbo la Mtambile, Wilaya Mkoani, Mkoa wa Kusini Pemba katika eneo letu tunaloishi kumepita mradi wa ujenzi wa Barabara ya Mtambile hadi Nanguji...
UKIWA CHANYA MUNGU ANAKUONDOLEA WATU HASI KWENYE MAISHA YAKO
Anza kubadilisha maisha yako, kuwa mtu chanya, Mtu chanya ni mtu ambaye anaishi maisha yenye kuona mambo kwa uzuri.
Mtu chanya ni mtu...
UKIONA DALILI HIZI KWENYE MAISHA YAKO UNA NYOTA NA NGUVU KUBWA(AURA AU VIBRATION)
Ukiona unakutana na mtu usiyefamiana naye na kwa mara ya kwanza anaanza kukuambia mambo yake ya ndani ambayo...
Tanzania tumshukuru mchina bilakuwa na boda boda tungekuwa na majambazi wengi , kuna sura unakutananayo unaona kabisa hii bila boda boda Ingetoa roho za watu , vijana wengi wamejishikiza kwenye...
Abiria waliokuwa wasafiri na Ndege PW422 kutoka Jijini Dar es Salaam kwenda Arusha wametelekezwa katika Uwanja wa Mwalimu Julius Nyerere.
Abiria hao walipaswa kusafiri saa 5 asubuhi ambako...
Tunatoa pole nyingi sana kwa Jaji Mkuu Mohamed Othman Chande kwa kuondokewa na mwanawe wa kiume Said Mohamed Chande, jana jioni, maziko yanafanyika leo huko Tanga.
Tunakuombea Allah akupe subra...