TANZIA Jaji Mkuu Mohamed Othman Chande Afiwa na Mwanawe

TANZIA Jaji Mkuu Mohamed Othman Chande Afiwa na Mwanawe

FaizaFoxy

Platinum Member
Joined
Apr 13, 2011
Posts
100,506
Reaction score
123,806
tumblr_mltg306kgz1qet009o1_1280.jpg



Tunatoa pole nyingi sana kwa Jaji Mkuu Mohamed Othman Chande kwa kuondokewa na mwanawe wa kiume Said Mohamed Chande, jana jioni, maziko yanafanyika leo huko Tanga.

Tunakuombea Allah akupe subra katika wakati huu mgumu.

CNV17UXUwAExpOH.jpg


Rais Kikwete akimfariji Jaji Mkuu Mohamed Chande kufuatia kifo cha mwanaye Said Mohamed Chande kwenye mazishi

 
Samahani kwa swali hili. Hivi Mh. Jaji Chande ni mwenyeji wa huku bara?
 
polenii wafiwa..Mungu awape nguvu

Amina..
 
Back
Top Bottom