Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Mkuu wa wilaya ya Mbarali, Reuben Mfune ameagiza kukamatwa na kuchukuliwa hatua kali za kisheria wazazi 465 ambao hawajawapeleka watoto wao shuleni tangu walipochaguliwa kujiunga na kidato cha...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Moja ya vitu muhimu katika kujenga ustawi wa shirika lolote lile liwe la umma, binafsi, dogo au kubwa ni uhusiano kati ya mwajiri na mwajiriwa. Kwa upande wa mwajiri uhusiano huu unaweza...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Kwa wasiofahamu Bonde la Ngorongoro ambalo leo nii ni hifadhi imekuwa hivyo tangia mwaka 1959 tu, lkn kabla ya hapo lilikuwa ni Mali binafsi ya Settler wa Kijerumani aliyejulikana kama Adolf...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Kampuni ya madini inayomilikiwa na wazawa ya Tanzanite one iliyopo Simanjiro ,mkoani Manyara imeelezwa kuwa hoi kimapato kiasi cha kukatiwa umeme kutokana na deni kubwa kutoka Tanesco na...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Nilipokuwa mdogo nilikuwa nasikiliza sana nyimbo za Bob Marley bila ya kufahamu maana ya nyimbo na ujumbe wa nyimbo zake kwasababu nilikuwa sijui kingereza.. Leo hii nimeingia kwenye Youtube na...
1 Reactions
5 Replies
3K Views
TAKUKURU Manispaa ya TEMEKE wamewakamata watumishi watatu amabo walijitambulisha kama wafanyakazi ofisi ya Rais, ambapo watumishi hao watatu walipokea Rushwa ya Sh. mil 2 kutoka kwa mfanyabiashara...
1 Reactions
2 Replies
3K Views
Kama tumeanza kufuatilia safari za majaji,basi na tuanze kufuatilia na majumba na vitu vingine vya kifahari wanavyomiliki watumishi wa umma na ambavyo havilingani na mishahara yao yakiwemo magari...
1 Reactions
2 Replies
970 Views
Serikali imewataka watu wanaotumia dawa za kuongeza maumbile kuacha kutumia dawa hizo kwa kuwa madhara yake ni makubwa ikiwemo kusababisha saratani kwa watumiaje wake. Hayo yamesemwa na Naibu...
2 Reactions
13 Replies
3K Views
Wasalaam wana JF. Nimekuwa nikifuatilia kujua asili ya utaratibu wa mjane kurithiwa na ndugu wa marehemu mumewe.Nimegundua kuwa utaratibu huu kumbe ni wa miaka mingi sana tokea enzi za nabii...
1 Reactions
1 Replies
5K Views
Dah nimepatwa na shida hapa wakuu, mnamo tarehe 31/01/2018 nilinunua umeme wa Tshs.20,000/- kwa njia ya Mulla *150*78# nilishauriwa na jirani yangu akiniaminisha kuwa wapo faster kuleta majibu...
0 Reactions
1 Replies
840 Views
Nini cha kufanya na hili shirika? Kama vyanzo vya nishati vipo, waziri yupo, n aibu waziri yupo,gesi tunayo ya kutosha, Kukatika umeme ni jambo lililozoeleka sana sasa na ni miaka mingi, shida...
1 Reactions
1 Replies
657 Views
Jana Mkuu ameshangazw na kitendo cha baadhi ya majaji kwenda likizo katika nchi za kifahari kupumzisha akili. Si hilo tu, bali kilichomshangaza ni kutumia gharama zao. Siamini kama Mopao hajui...
1 Reactions
4 Replies
801 Views
*1. Mathayo* Huyu aliuawa kwa upanga huko Uhabeshi (Ethiopia ya leo) baada ya kuonyesha imani kali dhidi ya Kanisa la Kristo. Alijeruhiwa kwa upanga na kidonda chake hakikupona hadi umauti...
2 Reactions
4 Replies
2K Views
Nawasalimu katika Jina la Bwana wetu Yesu Kristo Kwa ndugu zangu Waislamu nanyi pia nawasalimu! Sote tu familia moja ya JF Leo tarehe 01/02/2018 nimerejea tena kuwaomba tuzidi kumuombea Rais wetu...
5 Reactions
44 Replies
4K Views
Leo nimetazama kipindi cha malumbano ya hoja ITV. Mada ilikuwa inasema Je, haki inapatikana kwa wakati mahakamani? Meza kuu walikuepo / Maaskari kitengo cha (Investigation) upelelezi. Pia...
4 Reactions
18 Replies
4K Views
Hii sasa imekuwa kero tunaomba trafiki anayesimamia kigogo round about awe anavuta magari kutumia muda kama ni dk 10 kila upande iwe hivyo sbb sisi tunaotoka chang'ombe na karume unaweza ukakaa...
0 Reactions
0 Replies
671 Views
01.[emoji117] Wale wanafunzi walioongoza Mashuleni, wanaenda kwenye Engineering na Medical school. 02.[emoji117] Wale waliokuwa wa pili, wanachukua MBA na LLB na kuja kuwa Mameneja wa wanafunzi...
4 Reactions
9 Replies
870 Views
hii ni shule ya scholastica moshi,je inamilikiw na CCM?au ndo kujikomba kwa wafanyabiashara?hii tabia inasaidia nini hasa kujikomba kwa chama?means chdema au CUF etc wakishika nchi hii skul...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Wanajamvi, nilichofanyiwa na mtu mmoja wa Chalinze ambaye ni mwizi ndio hiki hapa kwenye picha. Kwa kweli sintonunua chochote Chalinze tena. Huu ni ujambazi na kama watu wa Chalinze mko humu...
14 Reactions
116 Replies
14K Views
Bibi ambaye inasemekana alikuwa na umri usiopungua miaka 90 alivamiwa na kundi la majambazi walio mkatakata kwa mapanga na kumtupa shambani na kisha kuiba mbao zaid ya mbao 1000! .
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…