Scolastika ni shule ya CCM?? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Scolastika ni shule ya CCM??

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by RealTz77, Oct 6, 2009.

 1. RealTz77

  RealTz77 JF-Expert Member

  #1
  Oct 6, 2009
  Joined: May 18, 2009
  Messages: 742
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  [​IMG]
  hii ni shule ya scholastica moshi,je inamilikiw na CCM?au ndo kujikomba kwa wafanyabiashara?hii tabia inasaidia nini hasa kujikomba kwa chama?means chdema au CUF etc wakishika nchi hii skul watachange uniform au zitabakia na rangi hizi?wenye habari tafadhali tupatieni ukweli
   
 2. K

  Kwayu JF-Expert Member

  #2
  Oct 6, 2009
  Joined: Nov 8, 2007
  Messages: 487
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  nackia hii shule inacfika kwa wizi wa mitihani. ni information kutoka kwa mwanafunzi anayesoma hapo.
   
 3. Mopao Josee

  Mopao Josee JF-Expert Member

  #3
  Oct 6, 2009
  Joined: Jul 15, 2009
  Messages: 280
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ni ya wapi wadau?
   
 4. Ngalikihinja

  Ngalikihinja JF-Expert Member

  #4
  Oct 6, 2009
  Joined: Sep 1, 2009
  Messages: 16,435
  Likes Received: 3,782
  Trophy Points: 280
  Hivi yanga nayo ni ya CCM...?????
   
 5. RealTz77

  RealTz77 JF-Expert Member

  #5
  Oct 6, 2009
  Joined: May 18, 2009
  Messages: 742
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  unauliza majibu yakhe?teheeee teheeeee,usilojua lipi
   
 6. M

  Magezi JF-Expert Member

  #6
  Oct 6, 2009
  Joined: Oct 26, 2008
  Messages: 2,827
  Likes Received: 87
  Trophy Points: 145
  Lakini kama ni ya CCM kweli tatizo liko wapi??
   
Loading...