Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Naomba nitoe ombi langu kwa serikali hii ya Tz . Kuwa iwatazame waajiriwa wa serikali kwa mtazamo tofaut kuhusu maadili ya waajiriwa... ili waruhusiwe na wenyewe kuvaa Pensi kwa upande wa wanaume...
0 Reactions
0 Replies
644 Views
Mimi naamini kabisa sisi Waafrika tusipojipanga na kujaribu kujifunza na kuelewa capitalistic system inavyofanya kazi tutabakia maskini na wasindikizaji wa wengine milele na milele! Sasa hivi...
3 Reactions
22 Replies
2K Views
Unaweza kusoma mahojiano zaidi hapo chini lakini my focus ni uwezekano wa Dabaga kuwa the biggest processor of tomato sauce in Africa. Inawezekana? Tupende vyetu. Dabaga becoming Africa’s biggest...
0 Reactions
4 Replies
6K Views
Habari zenu waungwana, Hongereni kwa kazi na poleni kwa ukata tulionao. Nije kwenye mada, mwaka 2010 mwezi wa 12 tarehe 23 siku ya alhamis pale Dodoma nilipatwa na tukio moja lililoniacha kinywa...
14 Reactions
60 Replies
5K Views
Siku mbili nyuma tumuona video ikisambazwa mitandaoni ikionyesha mabus mawili yakiliover take lori kwa namna isiyo ya kawaida. Ambapo baadae madereva hao wa mabus walikamatwa kila mmoja kwa wakati...
2 Reactions
3 Replies
813 Views
Kundi la watu wenye kipato cha kati linahusisha walimu, askari, wakandarasi, mameneja wa ujenzi nk. — kwa kifupi ni wafanyakazi wote wenye mchango mkubwa katika kujenga uchumi wa Taifa. Kundi hili...
6 Reactions
12 Replies
5K Views
Habarini wana JF, Mimi ni mwalimu wa Mathematics kutoka chuo kikuu cha Dar es Salaam, nimejaribu kupeleka barua za maombi yakazi katika baadhi ya shule zilizopo Mbeya mjini bila mafanikio yakuitwa...
1 Reactions
8 Replies
3K Views
Mi naanza na mwenyewe . ...'wazee sio waangalifu, ila miili yao hua inakubali kufanya matendo yale tu ambayo ni lazima mtu ayafanye ili aitwe mwangalifu..... '....... My histor.....mwanafunz wa...
0 Reactions
0 Replies
733 Views
Kwa ufupi Wanafunzi wanaosoma wakiwa chini ya miti ni wa darasa la tatu, nne, tano na sita. Mwalimu mkuu wa shule hiyo, Rashidi Chalilo alimweleza mwandishi wetu aliyeitembelea jana kuwa...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Za leo, Jana nilioona filamu ya kinaigeria eti kijana na msichana wapo shuleni. Ila ni chuo wote wanasoma kwa pamoja walipomaliza kwa shida. Wakaanza kutafuta kazi nayo hali ni mbaya kidogo baba...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Usiku umefika tulala usingizi bilahatakinga,wenzetu wachawi ndiokazi inaanza, nyumba yako umeweka ulinzi wakutosha lakini walewazee wanakuja nakuingia bila hodi. alieumba giza pia akaumba nuru...
3 Reactions
13 Replies
1K Views
Kwa zaidi ya mwaka mmoja sasa dunia imekua ikishuhudia 'vita ya maneno' dhidi ya Raisi wa Marekani, D Trump na Rais wa Korea Kaskazini, Kim, J.U huku kila upande ukijinasibu una uwezo mkubwa wa...
0 Reactions
0 Replies
998 Views
Ruzo Boniface Amlima amefariki dunia baada ya kujirusha toka ghorofa ya 13 wakati akizindua mchezo wa kujirusha toka ghorofani. Huu ni mchezo mpya hapa Tanzania na aliyefariki ndiye kiongozi...
21 Reactions
439 Replies
71K Views
Nina uhakika kabisa kila Wazungu (maglobalist) wanavyojaribu kumgombanisha D.Trump na sisi Waafrika ndivyo Waafrika tunavyozidi kumkubali, kwa mfano ile kauli ya ,,shithole" kama ni kweli aliisema...
0 Reactions
2 Replies
576 Views
TAKUKURU imeiambia Mahakama ya Kisutu kuwa upelelezi wa kesi ya utakatishaji fedha (USD 375,418) inayomkabili aliekua Rais wa TFF Jamal Malinzi, Katibu Mkuu Selestine Mwesigwa na Muhasibu Msiande...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Mkoa wa Kagera baada ya serikali kutenda haki katika mitiani siku hizi Kagera imerudi tena katika elimu huku mji wa Bukoba ukiendelea kutoa Tz one cheki ilivyokuwa mwaka huu
2 Reactions
171 Replies
19K Views
Ufuatao ni ujumbe wa Baba Mtakatifu Francisko wa siku ya 52 ya Upashanaji wa habari duniani 2018, alioutoa tarehe 24 Januari. Siku ya Upashanaji wa habari uadhimishwa kila mwaka katika maadhimisho...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Mashine hiyo ya uchunguzi wa mwili wa mwanadamu CT Scan (Computerized Tomography Scan) inatarajiwa kuzinduliwa kesho ijumaa Januari 26,2018 na Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na...
0 Reactions
1 Replies
952 Views
Tanzania: Magufuli's Policies Risk Growth - - IMF allafrica.com Jan 25, 2018 11:11 AM The International Monetary Fund is worried that Tanzania's economic growth could be clouded by growing...
0 Reactions
1 Replies
583 Views
Back
Top Bottom