Hii sasa imekuwa kero tunaomba trafiki anayesimamia kigogo round about awe anavuta magari kutumia muda kama ni dk 10 kila upande iwe hivyo sbb sisi tunaotoka chang'ombe na karume unaweza ukakaa hapo zaidi ya saa, sana sana mida ya saa kumi na mbili asbh mpaka saa tatu.....kila siku.