Najua unakubaliana na Mimi!

Najua unakubaliana na Mimi!

chambimagaka

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2017
Posts
288
Reaction score
338
01.[emoji117] Wale wanafunzi walioongoza
Mashuleni, wanaenda kwenye
Engineering na Medical school.

02.[emoji117] Wale waliokuwa wa pili, wanachukua MBA na LLB na kuja kuwa Mameneja wa
wanafunzi walioshika nafasi ya kwanza.

03.[emoji117] Wale waliokuwa wa tatu, wanageukia
Siasa na kuwaongoza wote hapo juu.
Yaani wa kwanza na wa pili.

04.[emoji117] Wale waliofeli, wanaenda Jeshi, hawa wakigoma, basi hao wa juu
wote hawana raha.

05.[emoji117] Wale waliopata Zero na waliokataa
shule wanakuwa waganga wa kienyeji,
wote hapo juu watamtafuta huyu, pale
mambo yao yanapokwenda kombo. Tuache kudharauliana, kila mtu ni boss akiwa kwenye nafasi yake.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji6][emoji38][emoji38][emoji38][emoji125][emoji125][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12]
 
Duuuuh [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
04.
emoji117.png
Wale waliofeli, wanaenda Jeshi, hawa wakigoma, basi hao wa juu
wote hawana raha.

05.
emoji117.png
Wale waliopata Zero na waliokataa
shule wanakuwa waganga wa kienyeji,
wote hapo juu watamtafuta huyu, pale
mambo yao yanapokwenda kombo. Tuache kudharauliana, kila mtu ni boss akiwa kwenye nafasi yake.

Haua makundi mawili yanatofautianaje

Waliofeli na waliopata 0,

By the way Bash tee simuoni akishika vibuyu
 
01.[emoji117] Wale wanafunzi walioongoza
Mashuleni, wanaenda kwenye
Engineering na Medical school.

02.[emoji117] Wale waliokuwa wa pili, wanachukua MBA na LLB na kuja kuwa Mameneja wa
wanafunzi walioshika nafasi ya kwanza.

03.[emoji117] Wale waliokuwa wa tatu, wanageukia
Siasa na kuwaongoza wote hapo juu.
Yaani wa kwanza na wa pili.

04.[emoji117] Wale waliofeli, wanaenda Jeshi, hawa wakigoma, basi hao wa juu
wote hawana raha.

05.[emoji117] Wale waliopata Zero na waliokataa
shule wanakuwa waganga wa kienyeji,
wote hapo juu watamtafuta huyu, pale
mambo yao yanapokwenda kombo. Tuache kudharauliana, kila mtu ni boss akiwa kwenye nafasi yake.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji6][emoji38][emoji38][emoji38][emoji125][emoji125][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12]
HAKUNA UKWELI WOWOTE HAPO! NI DHANA POTOFU NA ZA KIPUUZI NA KISHAMBA!
Unazungumzia Shule katika level gani? Shule ya Msingi, Sekondari?
Kwa Tanzania, angalau Form Five ndo mtu anaanza kujiona yupo njia ya kuelekea wapi(Hapo ndo tunapata watu wa Science na Arts)! Kwa taarifa yako tu, majority ya wanaoenda Science grade zao zipo chini zaidi ya zile za Arts (kwa maana ya Combination)! Kwenye level ya chuo, kila mtu huchagua Nini Cha kusomea regardless ya wewe kuwa wa Kwanza au wa pili darasani! Hii inachangiwa na background yako Advance level! Hapo tunapata wenye Division One Arts na wenye Division One Science, baada ya hapo maisha yanaendelea!
 
01.[emoji117] Wale wanafunzi walioongoza
Mashuleni, wanaenda kwenye
Engineering na Medical school.

02.[emoji117] Wale waliokuwa wa pili, wanachukua MBA na LLB na kuja kuwa Mameneja wa
wanafunzi walioshika nafasi ya kwanza.

03.[emoji117] Wale waliokuwa wa tatu, wanageukia
Siasa na kuwaongoza wote hapo juu.
Yaani wa kwanza na wa pili.

04.[emoji117] Wale waliofeli, wanaenda Jeshi, hawa wakigoma, basi hao wa juu
wote hawana raha.

05.[emoji117] Wale waliopata Zero na waliokataa
shule wanakuwa waganga wa kienyeji,
wote hapo juu watamtafuta huyu, pale
mambo yao yanapokwenda kombo. Tuache kudharauliana, kila mtu ni boss akiwa kwenye nafasi yake.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji6][emoji38][emoji38][emoji38][emoji125][emoji125][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12]
Ooooh!Shikamoo JF member
 
Smell Of Truth[emoji16][emoji16] Anayebisha Asuburi Kipindi Cha Kampeni Njia Panda Zinakuwaga Na Foleni [emoji91][emoji91][emoji91]
 
Umesahau kitu.
Waliofeli zaidi huwa majambazi na viongozi wa cartels za madawa ya kulevya na wanaogopewa na wote ispokua waganga wa kienyeji
 
Back
Top Bottom